Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Kwa taarifa yako rais angekuwa anashitakiwa akiwa hai au yuko motoni, na kuwe na taasisi huru haichukui hata nusu saa, mpaka maagizo ya kuuwawa akina Ben Saanane maagizo yake yatakuwa hadharani.
kwa maagizo ya magufuli, unavyoandika it's as if una vithibitisho kama vyote.
 
Sio huyo tu, hata huyu mtoto wa Mahita ametajwa kuwepo Tabora wakati wa hii operation. Na ndio huyo huyo alikuwa Kilimanjaro kuwashughulikia kina Adamoo. Ndio hawa wasiojulikana wanaozurura nchi nzima kutesa Watanzania.

Mungu aendelee kumbariki Zakaria wa Tarime kwa namna alivyoshughulika nao walipoingia anga zake.
Goodluck, Mahita na Jumanne, wote hao ni dhahiri ndio miongoni mwa watesaji na wauaji.

Kumwua muuaji ni thawabu kwa sababu unaokoa uhai wa twalio wengi.
 
Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Aisee
 
Huyu jamaa cv zake tafuta ostabey polisi na walikuwa kitengo maalumu !.kilifanya mambo ya ajabu sana ila kwenye kundi lake wengi wana kesi ya unga kipindi cha makonda kuwa mkuu wa mkoa.na wengine wana pesa hata IGP ana subiri
Bro funguka kidogo halafu uni tag
 
Back
Top Bottom