Genius one
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 134
- 69
Weka salio kidogo kwenye account.Mkuu leo nimejaribu ku link paypal account na bank account ila inaniambia card yangu haiwezi ku link ni contact na issuer yaan hadi sasa sjui nifanyeje
Hemu km kuna mtu anaelewa ttzo ajaribu kunielewesha plz
Una tumia bank gan? Card yako imewezeshwa kwa online purchase?Mkuu leo nimejaribu ku link paypal account na bank account ila inaniambia card yangu haiwezi ku link ni contact na issuer yaan hadi sasa sjui nifanyeje
Hemu km kuna mtu anaelewa ttzo ajaribu kunielewesha plz
Natumia kcb card yngu ni visa cardUna tumia bank gan? Card yako imewezeshwa kwa online purchase?
Ok sawaWeka salio kidogo kwenye account.
Natumia kcb card yngu ni visa card
Ndio mkuu tayar imekubal now inaniambia ni weke four digit varification code but hawajanitumia no zozot ktk email na nikiweka no 4 za mwisho za card inakataaMake sure iko activated na online purchase
Kachukue kwenye statement ya account yako.Ndio mkuu tayar imekubal now inaniambia ni weke four digit varification code but hawajanitumia no zozot ktk email na nikiweka no 4 za mwisho za card inakataa