Good morning!

khaaaaaaaaaaaaaa! mume sina wallah, morning chit chatters!
 
Ndugu yangu, jana kijiwe hakikuchanganya...




Afu shemejiyo akanidengulia.....




Basi balaa tupu!!
pole sana ndugu yangu ila tatizo lugha gongana hapo kwenye bango la matangazo. Hapo kwa shemeji mmh! chichemi uchije ukaona wivu buree!
 
Mumeo niko gado, sema ulabu wa jana ndo unaniletea hangover.... Morning My Sugar!!

morning to u too my hubby! lol, sasa nitapata kweli dozi yangu leo?? kama ulipombeka hivyo?? lol!
 
Mumeo niko gado, sema ulabu wa jana ndo unaniletea hangover.... Morning My Sugar!!


Asprin naona leo umeamka na furaha kuliko siku zote.
Tushirikishane hyo furaha yako basi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…