Good morning wana JF

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Sep 16, 2016
110
62
leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee amani, tuiombee mvua mungu maana ukame umeathiri mazao yetu.nawatakieni jumapili njema wa JF
 
Yani mkate miti kuchoma mkaa halafu mvuwa mumuombe Mungu? Huu utani sasa, kwanza punguzeni hayo manyumba ya ngono ambayo wenyewe mwayaita guest house maana ndio vitega uchumi vyenu vikubwa.
 
Utakua ulilala Club,
 
leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee amani, tuiombee mvua mungu maana ukame umeathiri mazao yetu.nawatakieni jumapili njema wa JF
Nini maana ya "siku takatifu" ni siku ipi ambayo sii "takatifu"

Uandikapo neno "Mungu" kama unamaanisha Mwenyezi Mungu, Muumba mbingu na nchi, Mungu wa miungu, Bwana wa mabwana, Mfalme wa wafalme, ni LAZIMA jina hilo lianze kwa herufi kubwa! NI LAZIMA!!!!! Kimaandishi kuna tofauti kubwa sana uandikapo "mungu" na "Mungu"

otherwise, stay blessed!
 
leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee amani, tuiombee mvua mungu maana ukame umeathiri mazao yetu.nawatakieni jumapili njema wa JF
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom