Good Looking vs Normal Looking

Good Looking vs Normal Looking

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
wadau tusaidiane mawazo hvi kuna uhusiano gani kati ya mwonekano mzuri wa mtu na utendaji wake bz baadhi ya organisation na makampuni wao kigezo hicho kinamata sana.....
 
Physical impression au appeareance ya mtu sometmez nikigezo kikubwa kwanza inakutambulisha wewe jinsi ulivyo na hata tabia yako, uwez ukavaa katakei au kimin au sio nadhifu kwenye intervew alafu wakakuchukua kwan watakugrade wewe ni muhuni na hujitabui au huna nidhamu hata kazin utakuwa huna nidhamu ya kazi.
 
... kama alivyosema mdau hapo juu. ila pia itategemeana na kazi unayo apply. kuna kazi kama secretary, customer cares, mahotelini au zile zinazohusika na kuonana na wateja direct, unadhifu wa mavazi unahusika sana. hakuna anaependa kwenda ofisi ya mtu akamkuta secretary ata pasi hajapiga.

pia kuna kazi ata u-handsome au u-beautiful una matter aisee. yaani eti uumbaji unakua moja ya kigezo katika competition.
 
sehem ngapi au ofisi ngapi zina hao wenye mvuto bado utendaji wao mbovu hicho sio kigezo bado.....
 
kuna mdada aliajiriwa kwa umahili wake wa kuongea kiingereza. yaani analafudhi nzuri utadhani presenta wa cnn kasheshe ikawa utendaji asee. hata mikrosoft wedi hajui kutumia.
 
kuna mdada aliajiriwa kwa umahili wake wa kuongea kiingereza. yaani analafudhi nzuri utadhani presenta wa cnn kasheshe ikawa utendaji asee. hata mikrosoft wedi hajui kutumia.

ndicho ambacho hr wengi wanakosea
 
Ninakofanya kazi binti akija amejiremba sana na kweli akawa amepambika she is likely ataikosa hiyo kazi! I'm not sure lakini nafikiri urembo unanasabishwa na ugoigoi!
 
Back
Top Bottom