Gongo la mboto in pictures....

Hivi magari ya JWTZ kwanini hayakusaidia katika janga hili? Kwa nchi za wenzetu askari ndo wangeonekana mstari wa mbele kusaidia wahanga - hii ni pamoja na kuwabeba walemavu, wagonjwa na vikongwe migongoni (hii nachukulia mfano wa China ...) nashindwa kuelewa kabisa
 
Kijana unamaanisha na sisi tuyazoee au? Hivi waliochanwa uso, waliopata BP na waliokufa nao walikanyagana??:twitch:

tungekuwa na serikali serious kweli lakini kwa mkwere hakuna la maana ni sanaa tupu ni bora watu warudi tu waanze kujenga upya nyumba zao
 


Nimeipenda sana ile picha ya kwanza...mzee wangu wa Gongolamboto akimuonyesha askari wa JWTZ anayekusanya taarifa za kiitelinjensia jinsi bomu LILIVOPENYUA ukuta...aaaah
 
huyo jamaa anayechungulia bomu hapo ni mtaalamu wao au ni mwananchi tu wa kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…