Gonga Like Kama Umemkubali Kamanda

Gonga Like Kama Umemkubali Kamanda

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
11013141_565238540284965_4034297235927047631_n.jpg11013141_565238540284965_4034297235927047631_n.jpg
 
Aseeee...........
Kwa style hii lazima askari atumie silaha kwa kujipatia kipato cha ziada
 
Anashona kiraka?,hii sio kamanda nenda karipoti upewe gwanda jipya..
 
Isije UKAWA ni kunguni ndio wanauawa kwani wamezidi kero na kelele.
 
naskia wamepewa order toka ofisi kuu majeshi yote wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,na kuna askari (esp polisi kwa mikoa ambayo uandikishaji umefanyika )wamelimwa barua wajieleze kwa nin wasifukuzwe kazi kwa kutojiandikisha
 
Una uhakika? Je ukiitwa kuthibitisha unaweza kuwa na ushaihidi?.... Mdomo unaponza
 
Ngoja kwanza waziri akamalizane na wanafunzi waliokimbia jkt kwa mujibu akirudi atadeal na hii ishu.
 
maiti tu ndo anashonewa sanda mwilini.....nasikia watu wakisema hivo...
 
Back
Top Bottom