Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

Yani sijui hata niseme nini!Lakini maumbile yanapofanya kazi yake hakuna cha zaidi,nina uchungu sana.....Namuomba Mungu awe na wote kwa wakati huu mgumu sana....RIP!
 
Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu marehemu CHETUNTU mahali pema peponi, Ameni
 
View attachment 37436

My last PM to me!
Kwa Bwana, Kila goti litapigwa
I will miss you mamii
Hapo kwenye red naamini ulitaka kumaanisha "Her"..........Inauma sana, lakini lazima tukubali ukweli kuwa, maisha ni lazima yasonge mbele! RIP Chetuntu my friend!
 
Hapo kwenye red naamini ulitaka kumaanisha "Her"..........Inauma sana, lakini lazima tukubali ukweli kuwa, maisha ni lazima yasonge mbele! RIP Chetuntu my friend!

Nilipata confusion pia, lakini kulingana na hali halisi ilikuwa rahisi kwangu kutambua kuwa alimaanisha 'her'
 
Ndani ya wiki mbili tu,watu wangu wawili wa karibu wamefiwa na wake zao kwa complication za uzazi na kuwaachia waume zao watoto wachanga,we don't need to ask why,ni mipango ya muumba ambayo haina makosa,R.I.P chetuntu.
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa Amani amina!
 
bwana alittoa bwana ametwaa jina la mugu litukuzwe. we gona miss u .hope we meet u when we cross the river .amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…