wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Huyu mama Dkt. Jane Goodall na taasisi yake anaifahamu gombe kama vile ni Muha. Pongezi kwake kwa kutetea/kulinda wanyama adhimu kama chipanzee wasitoweke katika uso wa dunia.
Hakika mama huyu anafanya kazi nzuri. Ndugu Steven Sucker ameikubali kazi yake.
Wito kwa wizara ya maliasili na utalii ifanye hima kutafiti na kuwekeza katika vivutio nchini sio hadi wazungu wafanye hizi kazi ndani ya nchi yetu.
Tuwapokee kama wabia tu.