Tatizo unawaza ambalo sijalenga hapa. Ni kwamba anapenda kufanya kazi juu ya hao primates.Fall in love with Chimps??!!!----Unaweza kusema maneno hayo mbele yake???? 🙉🙉🙊
Tatizo unawaza ambalo sijalenga hapa. Ni kwamba anapenda kufanya kazi juu ya hao primates.Fall in love with Chimps??!!!----Unaweza kusema maneno hayo mbele yake???? 🙉🙉🙊
Mkikaribishwa sehemu muwe naheshima na wenyeji,habari za Heru juu mtama?Najua imekuuma sana ewe mmanyema wa Ujiji kusikia waha wakitajwa. Pole sana.![]()
Tatizo unawaza ambalo sijalenga hapa. Ni kwamba anapenda kufanya kazi juu ya hao primates.
Mkikaribishwa sehemu muwe naheshima na wenyeji,habari za Heru juu mtama?
Mmnyema gani? Mmbembe,mgoma mmbwali au umekuja ukafikia Kibamba kwenye zile gerejiKwa taarifa yako mimi ni mmanyema "Pure" wa Ujiji, mtaa wa Kibamba.
😂😂😂😂😂😂.Acha kukalili.Mimi ninalenga kile ulichoandika, ninawezaje kuingia akilini mwako na kujua unachowaza bila kuangalia ulichoandika??!!.
Ulichoandika kwa kiingereza ni tofauti na unachowaza au ulichoandika kwa kiswahili, sasa ni bora ukiri makosa na uombe usaidiwe neno sahihi la kiingereza kwa ajili ya hiyo maana unayokusudia.
Neno sahihi kwa muktadha huo ni; "fond of", na wala sio "fall in love".
"She has been very fond of Chimps"
Na sio; fall in love with Chimps🤣🤣.
Ndiyo maana nikakuuliza, je unaweza kutamka maneno hayo mbele yake????.
Mmnyema gani? Mmbembe,mgoma mmbwali au umekuja ukafikia Kibamba kwenye zile gereji
Inaumiza sana.Wanasema Raia wa Kigoma ni Warundi lakini hawasemi Sokwe wa kigoma ni Wa-burundi.
---Hawasemi Wakurya wa Mara ni wakenya.
---Hawasemi Wajaluo wa Mara ni Wakenya.
---Hawasemi Wamasai wa Arusha ni Wakenya.
---Hawasemi Wanyakyusa wa Mbeya ni Wamalawi.
---Hawasemi Wahaya wa Kagera ni Waganda.
---Hawasemi Wamakonde na Wayao wa Mtwara ni Wa- msumbiji.
Ni kigoma tuu ndiyo Mkoa ambao Raia wake na na mkoa ambao unaendelea kudhulumiwa.
Ukisema umetoka Kigoma, hasa Idara ya Immigration utapata msukosuko kama kwamba wewe ni mkimbizi.
Haya bwana mkubwaMimi Mbwali pure.
Kukariri✔😂😂😂😂😂😂.Acha kukalili.
Asante. Nasahau kiswahili sasa.😭Kukariri✔
Kwa nini unasahau?Asante. Nasahau kiswahili sasa.😭
Sikiongei wala kukiandika zaidi ya humu JF.Kwa nini unasahau?
Nipe namba yako tuwetunalonga kiswahili🏃kwa📱Sikiongei wala kukiandika zaidi ya humu JF.
Nipo Ivory coast.Nipe namba yako tuwetunalonga kiswahili🏃kwa📱
Upo wapi?
Tupe msg ya leo hard talkHuyu mama Dkt. Jane Goodall na taasisi yake anaifahamu gombe kama vile ni Muha. Pongezi kwake kwa kutetea/kulinda wanyama adhimu kama chipanzee wasitoweke katika uso wa dunia.
Hakika mama huyu anafanya kazi nzuri. Ndugu Steven Sucker ameikubali kazi yake.
Wito kwa wizara ya maliasili na utalii ifanye hima kutafiti na kuwekeza katika vivutio nchini sio hadi wazungu wafanye hizi kazi ndani ya nchi yetu.
Tuwapokee kama wabia tu.