Goli la mkono

Bado umelala.tayari nusu ya hao wamejiunga na safari ya mabadiliko chini ya ukawa.
 
Ile dans ya prez dar ilikuwa ni ya kuuridhisha umma na haikutoka moyoni.Kwa jinsi navyomjua father huwa anachekacheka kwenue kila jambo linalomuumiza na kuwa serious katika kila jambo linalomfurahisha.So kwa kujidensisha kwake kule kila mwenye kumjua keshajua kuwa sasa hivi yanagonga boxer.
 

kweli kabisa mkuu kikwete anamfariji tu magufuli ila anajua hawezi shinda.
 
Hao wenye kijani ni wa kuletwa kwa malori maana unapewa kofia na khanga kisha unapanda lori
Hao waliovaa kiraia ndio wameenda kwa hiari yao kumshangaa kufuli
 
Hao wote ni wanufaika wa mfumo nyonyaji wa CCM.....
Sisi wanyonge tunataka MABADILIKO....
DAIMA KILIO CHA WENGI NI KILIO CHA MUNGU....
Slaa na kundi lake hawataki mabadiliko ya lowassa,lipumba pia na kundi lake kubwa tu nao hawataki mabadiliko yasimamiwe na lowassa na genge lake ,ACT pia hawaungi mkono ukawa legelege ya mbowe,mtei na lowasa waliempachika,wameapa kumuadhibu mbowe kwenye sanduku la kura,ili baada ya uchaguzi wapate sababu ya kumng'oa madarakani,so ukichanganya kura za makundi yote hayo ya upinzani ambayo hayafurahishwi na ujio Wa lowassa ukawa ni bao la mkono tayari
 
kweli kabisa mkuu kikwete anamfariji tu magufuli ila anajua hawezi shinda.
Ushindi ni watu sio kujaza watu Wa kuimba nyimbo na mapambio humu mitandaoni wakati mambo hayajakaa sawa ukawa,viongozi wakuu wanajiudhuru hovyo muda huu kuelekea uchaguzi,mnaenda kwenye uchaguzi mkiwa dhaifu sana kiuhalisia,mnawategemea team lowassa eti ambao ni mabingwa Wa siasa za mitandaoni,ccm wenzenu wanawachora tu mnavyovurugana,they r happy now ndio mana wanatangaza ushindi mapema
 
KIM KARDASH mwanao uliyejifungua mwaka jana mzima? Na baba yake Kanye West je?

Msalimie sana!
 
Last edited by a moderator:
Kim Kadarshian na siasa wap na wap
 
Bao litakaloishia kwenye mabafu yapale Lumumba
unajua aliyesema "bao la mkono" inawezekana alikumbuka mbali sana hadi akataja hilo neno. wengi wetu tukiwa secondary school boarding, tulikuwa tunajua bao la mkono ni kupiga puli, sasa mtu mzima anapokuja kusema atapiga bao la mkono unamueleweje sasa?...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…