samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,016
- 1,219
Goli lake la kwanza VPL ile kipa kaufata mpira wapiiiii,huyu fundi bana.what a goal kwako kashasha .watu eti wanamwita antibiotiki
haya matokeo ya 3:2 ni ya game ipi?Ni alilowafunga Dodoma Jiji leo hapo Jiji la Arusha .Yanga 3 dom jiji 2
wana utani na GENTAMYCINEwanamwita antibiotiki
Keyboard bana ni 3 kwa 1 dah eti nimewaongezeahaya matokeo ya 3:2 ni ya game ipi?
Sijaliona kwa kuwa sikuangalia game, ila kama ni banana chop, basi yameshafungwa sana hayo mabao, hata kona zinazoingia zenyewe moja kwa moja bila kuguswa huwa ni banana chop, kama ya Kichuya aliyowafunga YangaGoli la faulo la Ntibanzo linaitwa banana chop
Hajasema hayajawahi kufungwa katuhabarisha ambao tulikuwa hatujui ule mgoli unaitwajeSijaliona kwa kuwa sikuangalia game, ila kama ni banana chop, basi yameshafungwa sana hayo mabao, hata kona zinazoingia zenyewe moja kwa moja bila kuguswa huwa ni banana chop, kama ya Kichuya aliyowafunga Yanga
Kabisa mchambuzi wa sokaItoshe tu kusema gori bora la msimu tumeshaliona leo
Umemjibu vema mtaalamHajasema hayajawahi kufungwa katuhabarisha ambao tulikuwa hatujui ule mgoli unaitwaje
Ahaa, na mimi nilikuwa sijui hii migoli inaitwaje. Kumbe Kichuya alifunga banana chopHajasema hayajawahi kufungwa katuhabarisha ambao tulikuwa hatujui ule mgoli unaitwaje
Kichuya alibahatisha inaitwa rain bow au upinde wa mvua ile.umeridhika sasa paka fc clubAhaa, na mimi nilikuwa sijui hii migoli inaitwaje. Kumbe Kichuya alifunga banana chop
Bila video mkuuGoli lake la kwanza VPL ile kipa kaufata mpira wapiiiii,huyu fundi bana.what a goal kwako kashasha .watu eti wanamwita antibiotiki