Goli la faulo la Ntibanzo linaitwa banana chop

Sijaliona kwa kuwa sikuangalia game, ila kama ni banana chop, basi yameshafungwa sana hayo mabao, hata kona zinazoingia zenyewe moja kwa moja bila kuguswa huwa ni banana chop, kama ya Kichuya aliyowafunga Yanga
 
Hajasema hayajawahi kufungwa katuhabarisha ambao tulikuwa hatujui ule mgoli unaitwaje
 
Tff wanasubiri nini kumpa tuzo saidi/saidi

Goli bora la msimu?
Maana mikia hakuna atayeweza kufunga
Sisi hata lamine atafunga ,ila kwa onyango mzee yule.atakufa
 
Back
Top Bottom