Hahahaha, na huyu ndie Golden Mpoleeee. Simameni wote.
Wanawake pigeni vigelegele, wanaume pigeni makofi.
Nikisema karibu, mnajibu Mpoleeee. :high5::rockon::high5:
Iaelekea kanajua kuvuruga shuka eehhaka katoto kama kanayoandika hapa kako hivyohivyo kiukweli katakuwa katukutu sana!hebu fikiria katoto ka-secondary kamembananisha zee lililokubuhu kama nyani ngabu mpaka nyani katoka nduki!smiling saint naye kajaribu wapi!nitonye kama anataka vile lakini sweetlady anamvuta kamba kama marafiki wa airtel,erick kaingia na bagah atakuja bila shaka!kanatisha sana haka kabinti!
Iaelekea kanajua kuvuruga shuka eeh