Golf ya polisi inaposukumwa na mtoto

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,442
taswiras1.jpg


Hapa sijui wese limeisha alienda kununua kwenye kudumu au ndo betri down

Jamani mapolisi mnatia aibu sasa hapo ikitokea dharura si ndo balaa

Ndo maana huwa mnafika maeneo ya matukio baada ya saa 1 mpaka mshtue defender zenu

Lakini nashangaa kwenye Maandamano huwa mnafika mapema hata kabla ya mda wa maandamano

Tuseme ndo usongo wa kupiga watu virungu na mabuti?

Au fraha yenu kuona watu wanahangaika kutafuta maji kuosha nyuso zao kwa maji ya pilipili?

Badilikeni jamani kwanza huyu afande hapo juu ilitakiwa ashtakiwe kwa kumpa ajira mtoto wa shule ya msingi.
 
Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini.
 
Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini.

Hapa yawezekana betri ipo down ndo maana ameamua kushtua, Golf haipigi starter sijui ikiwa kwenye msafara wa JK alafu izime gafla duh si balaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom