Dhahabu inapelekwa kwenye sayari ya Nibiru!! ili kuzuia mialai ya mwanga wa jua!! unao gonga mojakwa moja kwenye sayari yao! na kuharibu mazingira!
kifupi ni kuwa Nibiru Mazingira yao yameharibika mnoo kutokana na matumizi mabaya ya ardhi, mpaka kutishia uhai wao!! Sayari pekee yenye neema ni Dunia! na il watunze sayari yao ya Nibiru inabidi wawe na madini ya dhahabu!!
Yanatumikaje /afanyaje;
Haya madini ya Dhahabu yana reflect sun Rays hivo kuzuia athari kwenye us wa Nibiru planet, Annunakis hawa ndo wafadhili wakubwa wa manunuzi ya dhahabu wanabadilishana na siraha! na kuna
agents wengi weupe wazungu Duniani, na wengine ni viongozi wakubwa kama, Merovengiani families, Maquees de libex, Kennedy family, nk Queen Elizabeth wa uk. ni Annunaki agent yule!! na wana zaliana by blood hawatoki nje yao!
wao wanampa mzungu siraha na vifaa ili yeye mzungu awe anawachimbia annunaki dhahabu, na ku control Dunia kwa matumizi yao hawa Anunaki ndo wanafanya bei ya dhahabu kupanda Duniani. lkni ni siri ya wazungu!
Umewahi kujiuliza kwa nini Africa hatununui dhahabu au kuwa na matumizi ya dhahabu??? SHINYANGA NA MWANZA, TARIME NYAMONGO! yaani wenyeji wamelala fofofooo! hawajui!
Lkn mpaka mwaka 2o50 wata stop kununua tena!! hata mfanyeje weusi nyie hamta jua matumizi ya hiiz dhahabu zenu....Saddam alijipendekeza kuwajua ANNUAKI alichokipata hkn asiye jua humu!
Matumizi ya dhahabu ni dhana fiche wachache sana tunajua haya, hata ivo wananitafuta kwa kutoa siri hii ila hawa niwezi mie!....haiwezekani dhahbu ichimbwe migodini huko usiku na mchana bila kikomo!