Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Habari mwana jamvi,
Katika ulimwengu wa entertainment Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na utolewaji wa tuzo za Golden Globe Awards mwaka huu wa 2018.
Kwa kweli naomba niongelee jambo kubwa ambalo limeendelea na limetawala kwenye tuzo hizo.
Katikati mpaka mwishoni mwa mwaka jana 2017,wacheza filamu na tamthiliya tunaitaga movie and TV shows mbalimbali walijitokeza wakielezea tatizo lililomo katika tasnia Hiyo huko Hollywood, nchini Marekani
Wanawake wengi walijitokeza kutoa madai na shutuma huku waliwataja majina waongoza filamu,wenye kampuni za kutengeneza filamu na watu mbalimbali katika tasnia Hiyo ambao ni washika dau,wakielezewa kuwanyanyasa kijinsia hasa kutawala kwa vitendo vya ngono katika tasnia Hiyo. Ubakaji na kutumia fursa za kisanaa kama chanzo cha kushiriki au kuwapata wasanii hao kingono. Jambo hili limesemwa na wasanii wengi sana wakike tena wazi wazi,kama lupita nyong'o,Angelina Jolie na wengine wengi,huku hata wanaume wakitoa madai hayo pia.
Katika kuonyesha wako serious na movement Hiyo kama kuweka msisitizo na kutokomeza uhayawani katika tasnia yao wasanii wakike walikubaliana kuvaa nguo za rangi nyeusi,ili kudhihirisha kupinga na kukataa vitendo hivyo,lakini pia wasanii wakiume walionyesha kuguswa na jambo hilo kwa washirika wao kisanaa na kijamii pia,na wao,wakatupia nguo zenyw rangi nyeusi kuonyesha kuwasapoti ndugu zao,wapenzi wao,wake zao na marafiki zao.
Check picha kadhaa hapo chini,lakini ukitembelea blog mbalimbali au page mbali mbali za Instagram utaweza kuona.
Zaidi ya yote ni speech iliyotolewa na mwanamama mashuhuri,Oprah Wilfred. Ambae alienda kupokea tuzo kwa niaba ya mwanamama Recy Taylor, ambae inaelezewa alibakwa na wanaume sita wa kizungu katika harakati za kisanaa nchini humo. Speech ya Oprah imeibua hisia nyingi nsana,mpaka sasa imeanza kuzagaa hashtag ya Oprah for president.
Bongo Kuna ujasiri huu?