nilimtafuta mimi binafsi manake nilikuwa nimeshapata taswira ya nini kinachoweza kutokea so nilijiandaa ingawa pia sikuogopa as nilijisemea moyoni akikataa ni poa tu na akikubali nitasema asante.
Eti jamani? Halafu urudi usamehewe kiulaini laini tu? Mimi naamini kama ulikosana na mzazi mwenzio, wewe endele kulea watoto wako yeye usihangaike naye. Sasa watoto wamelala njaa, shule utata, pakulala hapaeleweki, halafu 20yrs later unajitokeza...daah!