Gold detector machine inatafutwa

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
348
Kama tangazo linavo jieleza, kwayeyote mwenye anacho icho kifaa, maalum kwaajili yaku detect, madini tofauti tofauti awasiliane na Mimi kwenye namba 0653005366.
 
Ni better uspecify unahitaji ya range gani na yenye uwezo wa kwenda umbali gani chini ya ardhi mana unaweza uziwa ya 5 mita na eneo unaloliendea lina madini kuanzia mita 10.Be specific kaka
 
Ni better uspecify unahitaji ya range gani na yenye uwezo wa kwenda umbali gani chini ya ardhi mana unaweza uziwa ya 5 mita na eneo unaloliendea lina madini kuanzia mita 10.Be specific kaka
yoyote ile, yenye uwezo kuanzia mita 5 kuendelea, mtu ambae anayo anitafute.
 
Back
Top Bottom