Wakuu habari zenu!
Hii imenitokea jana desktop yangu kipindi cha nyuma ilkuwa ikiwaka vizur from BIOS to boot window ila ilikuwa na tatzo la kuonyesha mawimbi kwenye monitor ila baada ya mda inakuwa fresh ila nikiplay game au video inaonyesha mawimbi pia muda mwingine inakuwa fresh.
Jana nili reset waya za hard disk na na kuireset pia CPU labda itakuwa imecheza .
Cha ajabu nikiwasha compiuter inawaka vizur feni zinacheza pamoja na ya CPU ila hai display kwenye monitor .
Wakuu naombeni msaada wenu wa kila mbinu kwani pc yangu ndio kila kitu kwangu
oooh jf ntaishia tu kwenye simu.