Duhh kweli umeamua ..sema mm nilichelewa wakwangu akaolewa ..nikiona hivi naumia sana kiona mtoto wangu anavohagaika Mara kule mara huku.Yes. Tuliishiwote zaidi ya miaka mitano na tukabahatika kupata mtoto mmoja lakini baadae tukaachana baada ya kutofautiana tabia.
Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu tumeachana lakini sasanimeamua. I dont want wakuite single mother anymore. I am coming back to you my dear wife tumlee kidume wetu pamoja na tujenge maisha yetu ya sasa na ya baadae. Sijali mahusiano uliyopitia baada ya kuachana na mimi nmaana hata mimi nimekuwa na mahusioano pia.
Umri unakwenda na wanawake wote ni sawa tu. Ni bora kuishi na weqwe ambae nayajua m,apingufu yako kuliko kuanzisha mahusiano mengine.
Naombeni wakuu muige mfano wangu. Sio sifa kuwa na watoto wengi huku kila mmoja akiwa na mama yake, Tupambane na mahusiano yetu.
Usiku mwema
Pole sana mkuu. Nimekaa nikafikiria sasa ni kwa nini mtotot wangu apate shida wakati baba yake nipo. Ni kwa nini mwanangu asiwe na wazazi wake muda wote akifurahia malezi ya pande zote mbili. Ni kwa nini niingie gharama mara mbili ikiwa bado umri wangu mdogo sana. Kwa kifupi nimeumia sanaDuhh kweli umeamua ..sema mm nilichelewa wakwangu akaolewa ..nikiona hivi naumia sana kiona mtoto wangu anavohagaika Mara kule mara huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaaaacha kumchomekea bna kasema hataki wamuite single maza tenaSawa
My own brand!!
Yaani niwe mgonjwa alafu nirudi kwa mama wa mtoto wangu ili nikamuue na yeye alafumtoto wangu abaki yatima. Mimi nitakuwa ni zaidi ya chizi aiseeMmh we jamaa umerudisha mpira kwa kipa...nina wasiwasi na hali yako ya kiafya. Kapimeni kwanza
Hahahaha. Kama upo kwenye situation kama yangu ndio uchukue ushauri wangu vinginevyo wacha ikupitekila la khair ila hapo kwenye kuiga mfano wako ndiyo hapawezekaniki maana wengine wake zetu tuliowaacha kama wewe waliolewa na huko waliko wanayafurahia maisha.
I wish lingekuingia ukajua Machungu ya Kule PiaHongera sana mkuu
SawaI wish lingekuingia ukajua Machungu ya Kule Pia