Maziku-Winston Smith
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 296
- 167
Habari za humu ndani.
Miongoni mwa vitu ambavyo nimewahi kuvisikia na kushindwa kuvielewa ni hii iitwayo "Gödel's incompleteness theory" ambayo licha ya kupitia sehemu mbalimbali kama Youtube na Wikipedia nimeshindwa kuielewa.
Nahitaji msaada wa kueleweshwa kwa kina zaidi kwa yeyote yule ajuaye zaidi kuhusu hili maana inasemekana kwamba hii nadharia imeweka vikwazo kwenye hisabati.