winner forever
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,094
- 269
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv
"I see a two storey house" T.B Joshua to Godwin Gondwe.
While shaking n trembling, "yes man of God, l have two houses" says Godwin Gondwe. Kabla hajaanguka wakati wa player line session.
kafungulia nini mkuu?Nimemwona sasa hivi kapewa prophesy kaombewa kaanguka chini na kufunguliwa mtabaki mnachonga tu mwenzenu huyooooo.....!!!!!
Sasa Mungu mwenyewe huyo kama mpaka ufunge safari kumfuata Lagos sijui sie tusio na uwezo huo tutapokea fungu gani! Au ni Mungu wa wenye nazo tu?Good move,yo yote anayemtegemea Mungu wetu hakika atapokea fungu lililo jema,
Kwi kwi kwi yan umenichekesha kweli ni vile natumia simu siwezi kukugongea ka-like
prof: "sijui na mie niende?"
Hivi ni Mimi tuu Naona hii post kama imetumwa tarehe 14/9/1972????Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv
Inapendeza kuona watu wakiutafuta uso wa Mungu kwa bidii.
kwani uso wa Mungu hauwezi onekana hapa tz mpaka ufuatwe nigeria?
mkuu, yawezekana kabisa kwamba kwako wewe ni kitu cha kawaida, lakini kuna mtu somewhere across the globe hilo ni tukio muhimu sana kwake. ni vema huyo naye aheshimiwe ktk imani yake kama tunavyoheshimu hisia zako.mhh,eti inahitajika pia thread kulielezea hili. Kweli tumefilisika.
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv
kafungulia nini mkuu?
kwani uso wa Mungu hauwezi onekana hapa tz mpaka ufuatwe nigeria?
Watanzania kwa kupenda miujiza kiboko . Hata huwa awahoji vyanzo vya miujiza hivyo wanachotafuta ni unafuu wa maisha ya duniani.Babu wa loliondo research alioifanya ilidhihirisha Watanzania ni akina nani. Mbona Yesu maisha ya duniani yalikuwa mateso mwanzo mwisho? Ukiona hauna taabu ,mateso na mahangaiko hapa duniani basi ujue upo mbali na muumba wakoKuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv