Godoro la kisasa!

Godoro la kisasa!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Kabla ya kulala unalipuliza hili godoro halafu hivi vi-milima vinatokea kukupa usingizi mnono!

godoro.jpg
NB: Haya magodoro wachina wataanza kuyauza bongo hivi karibuni. Anza kusevu vijinoti vyako tangia sasa!
 
Hahahaha. . .kaaazi kweli kweli.
Itakua maalum kwa wasioweza pata 'the real thing' ehhhh?
 
Ntakuja nichelewe kazini bure, ndio mwanzo wa kufukuzwa kazi kisa godoro.bora niendelee kutumia Tanform
 
halafu ukiangalia hivyo vi mulima vingine ni vya ya mbele vingine ni vya ya masaburi siooooo..!!! aaah hilo ni noma mazee
 
Lol itakuwa noma poa sana kwa walio singo
 
Back
Top Bottom