Godoro inch 10, 5by6 or 6by6 linahitajika

Godoro inch 10, 5by6 or 6by6 linahitajika

Guys kuna vitu ambavyo mtu hupaswi kununua mtumba, mfano magodoro na vitanda. Huwezi jua waliokuwa wanalala walikuwaje kiafya, au madhambi gani walikuwa wanafanyia humo! Maduka yamesambaa kila kona yanauza bidhaa za aina hiyo, kwanink usiende ukanunue?
 
Inaonekana haujawahi kuvaa nguo ya mtumba,wala kiatu cha mtumba,pia haujawahi kulala gesti wala hotelini,nihakikishie pia hautafanya hivyo
Guys kuna vitu ambavyo mtu hupaswi kununua mtumba, mfano magodoro na vitanda. Huwezi jua waliokuwa wanalala walikuwaje kiafya, au madhambi gani walikuwa wanafanyia humo! Maduka yamesambaa kila kona yanauza bidhaa za aina hiyo, kwanink usiende ukanunue?
 
Mi nnalo la tanform ila ni la toka 2011 utalitaka,nipo tanga
 
hivi mnajua vipimo?

ruler ya darasani ina inches 10, inch 1 = centimetre 2.5 . hilo godoro inches 5 sijui 6 anakwenda kulalia mdoli? manake hata mtoto halitaweza mtosha!

hizo shule mnakwenda somea ujinga?
source: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Samahani kaka nimepata kitanda 5by6,kwa hiyo ninahitaji 5by6 godoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom