anafanya vikao kwa kificho ka ngaribaHeche pia yuko wapi?
Heche yuko kyela anajipa moyoHeche pia yuko wapi?
Umenifanya nicheke.Atakuwa anafuatilia michango ya tone tone kwanza achukue chake mapemaaaa.......just in case.
Huyu Heche naye haeleweki. Anasema miaka 60 hamna kitu kimefanyika halafu hapo hapo anadai amesoma hadi chuo kikuu (udsm). Sasa hicho chuo nani kajenga kama hakuna kitu kilichofanyika tangu uhuru? Yaani katika wanasiasa uchwara huyo naye ni mmojawapo.Heche yuko kyela anajipa moyo
Watoto wa 2000 mnashida kweli, Unajua chuo kikuu kimoja tu dunia nzima?Huyu Heche naye haeleweki. Anasema miaka 60 hamna kitu kimefanyika halafu hapo hapo anadai amesoma hadi chuo kikuu. Sasa hicho chuo nani kajenga kama hakuna kitu kilichofanyika tangu uhuru? Yaani katika wanasiasa uchwara huyo naye ni mmojawapo.
Kakimbia na pesa za tonetonekeshasepa, to "visit family"
Laiti ungejua usingeongea hivyo. Nimekusamehe mwanangu😁😎😎Watoto wa 2000 mnashida kweli, Unajua chuo kikuu kimoja tu dunia nzima?
🤣🤣🤣🤣🤣Umenifanya nicheke.
Lema ni mujanja sana.
Atakua namanga akitafuta mwanya wa kusepa
wenje mnyika na lema nawaona wanavyosepa🤣🤣🤣🤣🤣
Katika safi ya juu ya uongozi wa chadema wa Sasa, hamtoaniamini lakini nawaapia lofa pale ni lissu peke yake; wengine pale wote wajanja wajanja.
Hana anachojua zaidi ya kupiga ramli