Godbless Lema yuko wapi? Tokea Lissu akamatwe yupo kimya

laptop68

Member
Joined
Feb 9, 2025
Posts
38
Reaction score
18
Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
 
Wandugu mwenye taarifa aliko lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
Kwani wewe upo wapi?! Tuambie ulipo nami nikwambie alipo lema.
 
Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
Taarifa zinaonesha passport yake imegongwa mhuri jana anaenda ughaibuni. Reason: To visit the family!
 
Lema alifika uwanjani mapema, lema askari walimkuta na amejadiliana nao muda mrefu, lema wakati mabomu yakirushwa alikuwa ameshasepa, kimsingi lema is a smart boy. Lema ni mboweboy kuonekana ni rightman wa lissu ni maajabu.

Ila walinzi waaminifu ni walinzi wa zumaridi wengine kanyaboya
 
Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
Subiri jogoo la tatu liwike
#Petro,

Unamjua mtu huyu? Ni kama ulikuwa pamoja naye.

Hii pasaka, na hii kwaresma.... Jiongeze
 
Wandugu mwenye taarifa aliko Lema atujuze maana tangu Lisu akamatwe alionekana kesho yake na baada ya hapo kimyaa ingawa operation no reform ikiwa inaendelea
Ameandamana mitandaoni huja muona?
 
Back
Top Bottom