Godbless Lema: Tunamtaka Makonda atuambie yuko wapi kamanda Ben-Rabiu Saanane

Godbless Lema: Tunamtaka Makonda atuambie yuko wapi kamanda Ben-Rabiu Saanane

Francis12

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
7,533
Reaction score
22,289
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani anaongea na waandishi wa habari muda huu.

Mambo ambayo anaongelea ni pamoja na swala la kupotea kwa Ben-Rabiu Saa nane.
Godbless Jonathan Lema :"Tunamtaka Ben-Rabiu Saa akiwa mzima mzima au akiwa amekufa tunataka mwili wake.

Godbless Jonathan Lema. "Tunamtaka Paulo Makonda ambaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam atuambie yuko wapi Ben Saanane "?
Godbless Jonthan Lema tunamtaka Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba kujiuzulu kutokana na kushindwa kuwadhibiti watu wanaoendesha Matukio ya Utekaji nyara.
tmp_706-FB_IMG_14917446528991000571384.jpg

 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Mambo ambayo anaongelea ni pamoja na swala la kupotea kwa Ben-Rabiu Saa nane.
Godbless Jonathan Lema :"Tunamtaka Ben-Rabiu Saa akiwa mzima mzima au akiwa amekufa tunataka mwili wake.
Godbless Jonathan Lema. "Tunamtaka Paulo Makonda ambaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam atuambie yuko wapi Ben Saanane "?

Waziri kivuli wa mambo ya ndani huyu ni kivuli kweli,walikosea sana kumpa cheo hicho angepewa uwaziri wa kukurupuka na umbea tu.
 
Lema swali Hili ungelielekeza kwa Mboe ingekua busara sana.
Unaogopa nn? [emoji23]

Bashite kama mwenyekit wa kamati ya ulinzi dsm aliahidi kumpata roma maana alitekwa kwenye mkoa wake, pia akasema ni jukumu yeyote lake kuhakikisha analinda raia wote!
Sasa Beni alipotea ndani ya mkoa wake, iweje bashite asihusike kwenye hili?
Kwa nini asiulizwe mahali Beni alipo na akahakikisha anapatikana kama ilivyotokea kwa Roma??
 
Kwa Hili BASHITE Hana Cha kusema kabisa ,Ni yeye ndiye anyemshikilia Ben saa nane..Hata Sospeter Indiga Msami,Alisema kabisa Bashite Ndiye aliyemteka Ben saa8.

1.Kwanza aliwatisha shilawadu atawafunga bila kupitia hata mahakamani.
2.ROma atapatikana kabla ya jumapili.
3.Sospeter Indiga Msami(Anonymous) aliweka wazi kabisa Bashite ndiye aliyemteka Saa8 Ben.

Huyu mtu aanzishiwe Movement mpaka amtoe Ben 8 kama vipi watu wafungue kesi za kimataifa kamanchini wanamuogopa.
 
Yaani haya mapambano ya madawa ya kulevya, kweli Kiongozi jembe alijitosa na kujaribu.

Na Mheshimiwa Raisi wetu endelea kubana haswa haswa, walizoea sasa hivi hawana sera.

Sikufahamu nchi hii ina binadamu wa ajabu sana, kila kitu wanamtupia Mhe. Makonda siku hizi. Ha ha haaaaaaa


Ni hakunaga

Makonda oyeeeeeee
 
Chadema ndio mnajua Ben alipo. Mlinyamaza kimya kwasababu mlikuwa hamna pa kutokea.

Tunawajua, tumewajua na tutaendelea kuwajua.


Mwaka 2020 JPM kama kawaida, na bado mtaendelea kusaga meno


Magufuli oyeeeeee
 
Tunatumia vichwa[emoji23]
Sema Nyie mnajibu mkiwa mmevutishwa ngada na viroba
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema ambaye ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Mambo ambayo anaongelea ni pamoja na swala la kupotea kwa Ben-Rabiu Saa nane.
Godbless Jonathan Lema :"Tunamtaka Ben-Rabiu Saa akiwa mzima mzima au akiwa amekufa tunataka mwili wake.
Godbless Jonathan Lema. "Tunamtaka Paulo Makonda ambaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam atuambie yuko wapi Ben Saanane "?

HAYA KUMEKUCHA TUMESHAPATA MAONO MAPYA, KAZI KWELIKWELI
 
Back
Top Bottom