Godbless Lema: Nilimpigia Kikwete baada ya Magufuli kuondoka, nilimwambia aongee na Mama nataka kurudi

..Jpm hakuuwawa, alikufa kwa corona.

..Maza alithibitisha wakati wa Royal Tour.
Alithibitisha kwa vp? Maana ni yeye ndio aliyetangaza rasmi kifo cha Magufuli kwa mara ya kwanza na kueleza sababu ya kifo ambayo haikuwa corona, sasa hiyo mara ya pili kusema kifo cha Magufuli ni corona alithibitisha vp? Asije tena mara ya tatu akasema ni malaria.
 
Kumbe hua hufikirii hata kidogo.
Kikwete alikua rais, na wakati akiwa rais alikua rafiki na aliweza kuteta na kila mtu awe mpinzani. ALIKUWA BABA NA MLEZI, MSIKIVU na ndo mtu ambae ni approachable na mwenye uwezo wa kuongea na kiongozi aloko madarakani.
Sasa kwanini alitaka iwe siri hayo mazungumzo yake na Lema?
 
Naam.....sio kwa kauli yangu bali ya kwake Lema Mwenyewe.

=====

Lema: Magufuli alipoondoka tu nikampigia Rais Kikwete simu, nikamwambia mheshimiwa mwendazake kashatembea, ongea na mama mimi nataka kurudi nyumbani.

Tulikubaliana nisimwambie mtu lakini ni habari njema mheshimiwa Kikwete nisamehe, akaniambia hapo ulipo upo na nani?

Nikamwambia niko na mke wangu na nimekuweka 'loudspeaker' anakusikia. Akaniambia unataka kurudi lini? Nikamwambia jana, akaniambia subiri wasettle tutaendelea kuwasiliana.

View attachment 2535242
Daaah Nchi ilipitia mabaya san kuwah kutokea!!! Kisa mtu hataki kusikia anakosolewa wala kupingwa?
 
Naam.....sio kwa kauli yangu bali ya kwake Lema Mwenyewe.

=====

Lema: Magufuli alipoondoka tu nikampigia Rais Kikwete simu, nikamwambia mheshimiwa mwendazake kashatembea, ongea na mama mimi nataka kurudi nyumbani.

Tulikubaliana nisimwambie mtu lakini ni habari njema mheshimiwa Kikwete nisamehe, akaniambia hapo ulipo upo na nani?

Nikamwambia niko na mke wangu na nimekuweka 'loudspeaker' anakusikia. Akaniambia unataka kurudi lini? Nikamwambia jana, akaniambia subiri wasettle tutaendelea kuwasiliana.

View attachment 2535242
Aibu yake, mwanamume asiye na kifua cha kutunza siri.... Iwapo mlikubaliana kwa nini anavunja ahadi....???!!!
 
Naam.....sio kwa kauli yangu bali ya kwake Lema Mwenyewe.

=====

Lema: Magufuli alipoondoka tu nikampigia Rais Kikwete simu, nikamwambia mheshimiwa mwendazake kashatembea, ongea na mama mimi nataka kurudi nyumbani.

Tulikubaliana nisimwambie mtu lakini ni habari njema mheshimiwa Kikwete nisamehe, akaniambia hapo ulipo upo na nani?

Nikamwambia niko na mke wangu na nimekuweka 'loudspeaker' anakusikia. Akaniambia unataka kurudi lini? Nikamwambia jana, akaniambia subiri wasettle tutaendelea kuwasiliana.

View attachment 2535242
Hakuna ambaye hakufurahia lile tukio la ukombozi wa nchi yetu mwaka 2021 kuanzia viongozi wastaafu, waliopo madarakani hadi wananchi matajiri kwa maskini!
 
Alithibitisha kwa vp? Maana ni yeye ndio aliyetangaza rasmi kifo cha Magufuli kwa mara ya kwanza na kueleza sababu ya kifo ambayo haikuwa corona, sasa hiyo mara ya pili kusema kifo cha Magufuli ni corona alithibitisha vp? Asije tena mara ya tatu akasema ni malaria.

..Maza aliulizwa swali la kushtukiza na yule mzungu wa royal tour ndipo akakiri kwamba bwana mkubwa alifariki kwa corona.
 
Back
Top Bottom