Nazipokea shukran zako kamanda Lema kwa mikono miwili,umenigusa uliposema unawashukuru hata wazee waliokuwa nyumbani na bado wakafanya maombi"Nakili kuwa nilipiga magoti toka saa12 asbh,nikisali na kukemea hila za ccm na mapoliccm na mwisho wake maombi yangu yakatimia" ni furaha iliyoje kuwa na jembe kama wewe? hata rafiki yako mchungaji lukosi kaona kazi yako ilivyonyoka kama suruali iliyotoka kwa dobi ikingoja kuvaliwa mda wa kwenda kutoa mahali.
Tusirudi nyuma,tusonge mbele,tukichokozwa tusichoke kupeleka taarifa police,na siku ccm wakielewa kuwa hii nchi ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi zetu wala dini zetu wala rangi zetu hapo ndipo tutaishi kwa amani.
Asante chadema
Asante lema
Asante wana arusha
Asante watanzania kwa uelewa wenu
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu