Godbless Lema: Msafara wa bilioni 2 unazindua zahanati ya milioni 176!

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Katika mkutano wake huko Arusha kabla ya maandamano. Mh. Godbless Lema ameongea kitu kimenigusa sana.

Yaani unakuta viongozi wanatoka Dar na msafara wao wanaelekea mkoani kuzindua zahanati iliyogharimu Milioni Tshs. 176 na pesa za zahanati ni za msaada kutoka mashirika ya kigeni!

1709018758016.png
 
Tanzania ya vituko visivyo Isha,kuna uzi humu una trend kuwa kama wewe ni minister na utakua masikini, itakua umejitakia, ni ukweli mchungu, nchi yangu ilipotea njia na sasa tupo porini sana ,role model wangu kwa mawaziri wote ni Mh.Jackson Makweta (MHSRIP),huyu waziri alikua super na kila shilling aliyoipata ni halali tupu,hakua na scandal ila vultures walitaka kumchafua sababu alikua very clean guy, hadi leo miradi inafunguliwa na political leaders why?,muda sasa sijawahi kusikia PM wa Sweden amefungua shule,hospital ndani ya Sweden (kwa vijana wa dot.com, nchi hii ime pump fedha nyingi sana ,nyingi mno kusaidia kuupiga vita umasikini, ILA juhudi zote hizi zikakutana na mafisadi mapapa, zikafeli)
 
Hao CHADEMA huwa wanatumia usafiri wa punda? Wenyewe kwenye misafara yao ni magari ya kifahari matupu
 
Mbona hazitaji gharama za Helikopta?

Halafu huyu ndie alisema

"Canada kuna nyumba bora"

Alikuwa anatuzuga na hili hekalu
mbowe-jpeg.2812967
 
Katika mkutano wake huko Arusha kabla ya maandamano. Mh. Godbless Lema ameongea kitu kimenigusa sana.

Yaani unakuta viongozi wanatoka Dar na msafara wao wanaelekea mkoani kuzindua zahanati iliyogharimu Milioni Tshs. 176 na pesa za zahanati ni za msaada kutoka mashirika ya kigeni!

amesema kweli, ni kitu kinafanywa afrika tu.
 
Katika mkutano wake huko Arusha kabla ya maandamano. Mh. Godbless Lema ameongea kitu kimenigusa sana.

Yaani unakuta viongozi wanatoka Dar na msafara wao wanaelekea mkoani kuzindua zahanati iliyogharimu Milioni Tshs. 176 na pesa za zahanati ni za msaada kutoka mashirika ya kigeni!

sema umeguswa na upotoshwaji wa kiwango cha juu sana cha mpotoshaja asiekubalika anaekusudia kuomba uongozi asioweza kuupata kwa watu anaowadharau na kuwaita wamelaaniwa 🐒🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huo msafara wa mabilioni unakuwa na jet ngapi?
Anayebisha atuwekee mchanguo wa gharama ili tupate hayo mabilioni. Hizi sweeping statements za kijinga zinakuwa hazina effect yeyote kwa sababu hazija base kwenye ukweli.Ni uzushi tu.
 
role model wangu kwa mawaziri wote ni Mh.Jackson Makweta (MHSRIP),huyu waziri alikua super na kila shilling aliyoipata ni halali tupu,hakua na scandal ila vultures walitaka kumchafua sababu alikua very clean guy,
👍
For sure he was, Mungu amlaze pema
 
Hata kama takwimu zake siyo sahihi ila alichokisema ni ukweli mtupu japo huwa ni mchungu. Tujitafakari
 
Always mtu clean,history na muda vinamhukumu hivyo, yule waziri alikua very honest, hard working, royal na very smart, he died poor ila with RESPECT
Nakumbuka kwenye mazishi yake hata Freeman Mbowe alimzungumzia kuwa ni Waziri wa mfano kupata kutokea
 
Back
Top Bottom