Godbless Lema: Mrisho Gambo(RC) hakuogopa kuwa muongo madhabauni eti aliniita mimi rafiki yake

Ahsante sana Best.

Hawa ni wataalamu wa kupindisha ukweli
CUF haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar
Nondo alijiteka
Mhariri wa Guardian alilewa
Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana lakini ni marufuku kuwasomea albadir
 
Lema haoni kama huo waweza kuwa mwanzo mpya? Angempa RC Gambo a benefit of doubt na kumuonyesha kuwa anapokea kauli ya Gambo positively. Hatuwezi kuwa na amani na maendeleo kwa kuendekeza mivutano.

Vv
 
Lema afanye afanyavyo jimbo lazima lirudi home.
Anajua ndio taget yenu... na sio yeye tu ila Tanzania nzima inajua lengo lenu ni hilo.. ni jema japo sio kwa sanduku la kura... (Asiyewajua atahangaika sana
 
Lema haoni kama huo waweza kuwa mwanzo mpya? Angempa RC Gambo a benefit of doubt na kumuonyesha kuwa anapokea kauli ya Gambo positively. Hatuwezi kuwa na amani na maendeleo kwa kuendekeza mivutano.

Vv
Hakuna amani kisogoni.
Amani ni ile ambayo hupaswi kusimuliwa ila unaiona kwa macho yako.

Lema si mnafki
 
Angekuita mwizi wa magari bado ungekimbilia Twitter kulalamika anakuonea.
Nyie watu mna visa kama watoto wa kambo.
Mtu mzima kuwa muongo na mmbeya ni aibu.
Lema aliwahi kukuibia gari (la ndotoni) lini?
 
Lema hapa amekosea...... Mwanaume unahandle mambo kiume
Unamaanisha akubali uongo.
Dhambi zingine zinakwepeka kaka.. Jana unipigie mawe nyumba yangu leo uniite rafiki.. Kesho unarudia vioja tena eti kuhandle kiume kweli?
 
Lema ndie anamfahamu rafiki yake ni yupi na adui yake ni yupi.

Huu wa kulazimishana uishie kwenu huko
 
Na wewe ulikiuwa mnafiki na mwongo kwenye eneo la ibada. Kwani ni RC Gambo alipokutambulisha kama Rafiki yake ulisimama?
 
View attachment 739125
Ktk Ibada ya kusimikwa Askofu,Mh Rais aliongea neno la Mungu kuhusu Amani na Haki.Bila shaka demokrasia na haki vitashamiri tena.Askofu Amani yeye akasisitiza ushirikiano kisiasa bila kubaguana.Mrisho Gambo(RC) yeye akuogopa kuwa muongo madhabauni, eti aliniita Mimi rafiki yake.
Ukimuita mtu Rafiki Lina maana au kweli ni swahiba au adui
 
Angekuita mwizi wa magari bado ungekimbilia Twitter kulalamika anakuonea.
Nyie watu mna visa kama watoto wa kambo.
Yaani wewe unadhihirisha jinsi gani ulivyomnafiki. Unaweza ku angamiza hata familia yako kwa ajili ya hao bwana zako.kwani Lema ameongea uongo? Kwa nini aseme ni kweli ni rafiki yake wakt sio rafiki yake? Mmeshazoea uongo na unafiki kwa kuwadaa watanzania kwenye vyombo vya habri ka mnaupendo na wazalendo afu sirini mnapanga jinsi gani ya kuangamiza na kuwanyonya. .
Asante Lema kwa kukataa dhambi ya unafiki na uongo.
Hawa vibaraka wao wanakudhihaki kwa sababu wamezoe kufanya unafiki ukiwaona wanavyoongea kwenye media utasema ni kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.
 
Back
Top Bottom