Godbless Lema: Mrisho Gambo(RC) hakuogopa kuwa muongo madhabauni eti aliniita mimi rafiki yake

Huyu Lema jamani ana tabia za kitoto mno,hanaga jema hata mara moja! Alafu hawa CDM, wasimamishe mgombea mwingine maana huyu kashaishiwa sera,hana jipya.
 
Ungekataa kusimama ili na wewe usipate dhambi Madhabahuni kwa kukubali uongo...!
Gambo ni mnaa.. Lema aliposimama aliharalisha unaa wa Gambo. ndani ya kanisa ili mambo yaendelele ila nje kanisa hata moyoni mwao ukweli wanao
 
Huyu Lema jamani ana tabia za kitoto mno,hanaga jema hata mara moja! Alafu hawa CDM, wasimamishe mgombea mwingine maana huyu kashaishiwa sera,hana jipya.
Yuko sahihi, mtu anaye kuombea hata kufa ufe halafu mbele ya kanisa anakuita rafiki sii ni unafiki huo?
Unafiki huo Gambo apeleke huko huko ccm asituzuge sie mtu mwenye roho mbaya kama ibilisi mwenyewe
 
Ni Huyu Huyu Lema hivi karibuni alitaka Wanasiasa wa Arusha kurudisha uhusiano ili kujenga Ushirikiano Na Maendeleo!

Kuitwa Rafiki ni neno la kawaida sana Kwa busara ya kiwango cha chini sana alipaswa kuchukulia kawaida hasa Kwa Wanasiasa
Ataitwaje rafiki na adui yake?! Au neno rafiki linatafsiri nyingine awamu hii kama ilivyo tafsiri ya uzalendo awamu hii ambao ni kuwa mjinga wa kukubali kila ujinga na upumbavu wa watawala bila kuhoji na kutafakari?!
 
hii hoja ya mikutano huwa inachekesha sana.

mikutano imekuwa wazi since 1992 hatujaona chochote leo ndio tuje tuone?

kinondoni juzi kati hapa ilikuwa inaruhusiwa tumeona nini? siha tumeona nini? 2020 itaruhusiwa ngoja tusubiri tuone kama tutaona kitu. hahaaa
Labda useme KIVITA, lkn kisiasa hamuwawezi.Kama unabisha mwambie aliyefungia mikutano afungue uone
 
Siasa sio uadui' kama cdm ndio mabingwa wa hii kauli lema kabadilika leo
 
Lema hana unafiki waasisiem. Jana waseme hawataki kufanya nao kazi leo mbele ya mkuu ni rafiki. Huyo gambo ndiye aliyekataa Ndesa asizikwe vizuri mtu ambaye alikuwa amewapa police Moshi gari, ndiye aliyemweka jela mayor wa Arusha ambaye leo anamwita rafiki. Double standards ambazo wamezizoea!lol!
 
Uyu hakustaili kuwa wMbunge, ila amekua Mbunge kwakua Arusha walikosa chaguo sahihi. Yeye kilasiku ni bifu tu, ata mwisho wa mwaka moyowake unakua umejeruhiwa sana kwa Chuki.
 
Lema hamnazo kabisa. So ungefurahi angekuita adui yangu lema, najua pia ungesema tu kwamba kakuita adui. Lema huna akili, and unakoeleea unaelekea kupotea, yawezekana unafikiri ulishangiliwa siku ile kumbe watu walikuwa wanakuzomea ama kukucheka kwa umburula wako yaan unakera bwana mdogo
 
Uyu hakustaili kuwa wMbunge, ila amekua Mbunge kwakua Arusha walikosa chaguo sahihi. Yeye kilasiku ni bifu tu, ata mwisho wa mwaka moyowake unakua umejeruhiwa sana kwa Chuki.
Mwambieni Gambo agombee na Lema Arusha muone vumbi..
 
Back
Top Bottom