Godbless Lema: Mrisho Gambo(RC) hakuogopa kuwa muongo madhabauni eti aliniita mimi rafiki yake

Duh, sasa alitoka amwite adui yangu? Mantiki ya kukuita ndugu manake kaweka moyo sawa na kumkubali kama ndugu.
 
Uyu hakustaili kuwa wMbunge, ila amekua Mbunge kwakua Arusha walikosa chaguo sahihi. Yeye kilasiku ni bifu tu, ata mwisho wa mwaka moyowake unakua umejeruhiwa sana kwa Chuki.
Mkuu embu kuwa mkweli! Kati ya ccm na chadema nani anachuki na mwenzake?!
 
Maccm sio watu wa kuamini! Anakuita rafiki huku nyuma wameficha sumu. Ccm ni zaidi ya wachawi nchi hii

Lema amekataa kuwa kaa
 
Back
Top Bottom