Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kwani ni mwizi? Kama ni mwizi kwa nini Polisi wasimkamate?Angekuita mwizi wa magari bado ungekimbilia Twitter kulalamika anakuonea.
Nyie watu mna visa kama watoto wa kambo.
Achana na Lema. Sasa sisi tujiulize ni kweli marafiki? Tuanzie hapo.Angekuita mwizi wa magari bado ungekimbilia Twitter kulalamika anakuonea.
Nyie watu mna visa kama watoto wa kambo.
Labda useme KIVITA, lkn kisiasa hamuwawezi.Kama unabisha mwambie aliyefungia mikutano afungue uoneChadema bado wachanga sana kisiasa.
Kama unao ushahidi unangoja nini kuupeleka kwa rossi?Au unangoja kuufikisha mbinguni kama ule ushahidi wa ughaidi?Angekuita mwizi wa magari bado ungekimbilia Twitter kulalamika anakuonea.
Nyie watu mna visa kama watoto wa kambo.
Mara zote nikiona comments zako lazima nikupe salute kimya kimya.........Hawa ni wataalamu wa kupindisha ukweli
CUF haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar
Nondo alijiteka
Mhariri wa Guardian alilewa
Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana lakini ni marufuku kuwasomea albadir
Hakuna uchanga kwenye kuuwana,hakuna uchanga kwenye kumuweka ndani mtu miezi sita bila dhamana wakati kosa linadhaminika,kukaa miezi hiyo sita mahabusu sbabu ya tofauti za kisiasa ni sawa na kifungo.Chadema bado wachanga sana kisiasa.
Juzi juzi wafuasi kiduchu walitaka kuivamia mahakama ya kisutu.Labda useme KIVITA, lkn kisiasa hamuwawezi.Kama unabisha mwambie aliyefungia mikutano afungue uone
Hawa ni wataalamu wa kupindisha ukweli
CUF haijawahi kushinda uchaguzi Zanzibar
Nondo alijiteka
Mhariri wa Guardian alilewa
Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana lakini ni marufuku kuwasomea albadir
Kama ukomavu wa kisiasa ni kutumia polisi ccm ni wakomavu kwelikweliChadema bado wachanga sana kisiasa.