Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,065
- 285,685
Wewe nawe pungu
Nenda jukwaa la celebrity utakuta au we mgeni hapa?
Nenda jukwaa la celebrity utakuta au we mgeni hapa?
Ndiyo maana linaitwa Celebrity na si Jukwaa la Siasa.......dhaaaaaa!!
2008 na 2013 nani sijui ni mgeni hapa kuliko mwingine, hata kama 2008 itaonyesha kuwa mgeni zaidi but nina kumbukumbu kuwa kuna jukwaa la UDAKU kwenye JF ambako hiyo stori ilitakiwa kupelekwa huko.
Sasa cha kushangaza ni nini hapo??
Lema ametetea Mambo mengi sana Arusha ambayo ccm walikua wanataifisha rejea Thread yangu yakipindi cha nyuma niliyoweka hapaMkuu lema ameifanyia nini Arusha ukiacha Arusha imemjengea ghorofa njiro yeye ameifanyia nini Arusha??
Lema ametetea Mambo mengi sana Arusha ambayo ccm walikua wanataifisha rejea Thread yangu yakipindi cha nyuma niliyoweka hapa
Acha viroba ni hatari kwa afya yako.
mimi ni ccm damdam lakini lema arusha mjini bado anakubalika sana.Hospital ya mama na watoto? Machinga complex achilia mbali ambulance aluzouza baada ya kupewa na wabongo wa UK yeye akamuuzia mdosi.