Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Alikuwa ametulia kama maji ya mtungi, bado hatujasahau kilichomkuta Gerezani tutamvua nguo tena asituchezee Machalii wa ARUSHA.

Alimwambia muhongo kuwa hasipo achia ngazi angemtoa kwa nguvu, mbona katii bila shuruti? Wacheni mambo ya kipashukuna
 
wewe ndio kilaza wa kwanza....Umekosa adabu...Watu tuna heshima zetu tutaenda kupata elimu ya ukombozi.

haaa haaa haaa, unaenda kumsikiliza kiranja wa panyaroad!!!!!!!!,
Ila tunashukuru Arusha wizi wa magari umepungua kidogo, cdm banha eti kibaka yupo kamati kuu, kaaazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom