Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Awapashe wana dodoma juu ya mr. Dhaifu kuteua vilaza kwenye baraza lake la juzi, anamwondoa mwakyembe uchukuzi, na kuingiza mzee wa uchakuaji samweli sitta.
 
Kweli Arusha ni kubwa!? Hata wewe wa Nduruma kumbe mpo Arusha!? hah hah hah....

Ametufanya jasiri mpaka tumechukua halmashauri ya jiji. Awamu hii tutamsaidia kurejesha mali za jiji zilizoporwa na ccm na mafisadi km uwanja wa sheikh Amri Abeid, uwanja wa Azimio Sakina na uwanja wa hospitali Njiro kontena. Pia yeye na madiwani wametutetea hatukuchangishwa maabara ambayo jiji limejenga kwa kodi yetu.
 
Msaidieni kwanza Mrejeshe ile Trekta iliyouzwa, pamoja na zile Ambulance mbili...
 
Alikuwa ametulia kama maji ya mtungi, bado hatujasahau kilichomkuta Gerezani tutamvua nguo tena asituchezee Machalii wa ARUSHA.
Pole unaelekea mjomba wako alikuharibu sana
 
molemo tafakari kabla hujatamka...lema hawezi kamwe kuiteka dodoma isipokuwa anapima upepo...kama unabisha tafadhali usiogope kutupia picha za umati wako ili tujiridhishe na huo utekaji...acheni sifa za rejareja
Mjumbe wa Kamati kuu Chadema Godbless Lema leo anatarajiwa kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Wajenzi mjini Dodoma saa 8 mchana leo.

Kamanda Lema ambaye pia ni mbunge wa Arusha mjini anatarajiwa kuelezea mambo kadhaa kuhusiana na wizi wa Tegeta Escrow,maazimio ya bunge na utekelezaji wake.

Mjumbe huyo wa kamati Kuu anatarajiwa pia kuwashukuru wananchi kwa kuiunga mkono Ukawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Akihojiwa Lema amesema anakwenda kuzungumza mambo makubwa ya nchi na kuwataka wakazi wa Dodoma wakae tayari kusikia mambo ambayo huenda hawajayasikia.

Godbless Lema alikuwa amemtaka aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo kujiuzulu kabla ya kikao cha bunge kinachoanza kesho vinginevyo angemtoa kwa nguvu bungeni.

Lema anatarajiwa kufuatana na Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje na wabunge wengine kadhaa wakiwemo viongozi wa Kanda wa Chadema na mkoa wa Dodoma.
 
Yani ccm ni bora wapate hata habari ya msiba kuliko kusikia jina Lema.
 
Huyu ni mmioja ya wabunge ninao waheshim wanapokuwa jukwaani huwa huwa wanatoa vitu adimu kinywani mwao.
 
Naongea kama mwenyekiti wa Mtaa wa Melamari kata ya Sakina. Katika mtaa wangu sina mwananchi mwenye akili mfu kama wewe.
Over.

Nilikuwa nasikia tu habari mwenyekiti wa mtaa ni jambazi. Kumbe ndio wewe? Rudisha ile Rav 4 ya yule mama mliyoiiba wiki iliyopita pale Sakina Bar
 
Naongea kama mwenyekiti wa Mtaa wa Melamari kata ya Sakina. Katika mtaa wangu sina mwananchi mwenye akili mfu kama wewe.
Over.

kwani we ni mwenyekiti wa mitaa mingapi, mbona nakuona kila siku uko Mbezi DSM!
 
Du hizi kauri tata za kuvuruga amani tu nilijua amekuja na mabomu yake ya petrol kuja kuiripua na kuiteka Arusha kumbe....
 
Safi sana MH LEMA , huyu ndio kiboko ya magamba , na ni afadhali sana Muhongo alivyokimbia na ' taulo ' vinginevyo MH LEMA angemburuzia nje kibabe .
 
Back
Top Bottom