Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Godbless Lema kuiteka Dodoma leo

Yaaani ccm wakisikia lema tu, wanaanza kutetemeka, cjui kawafanya nni? Na msubili shimo lenu ni october
 
Acha uongo wewe hapo seven up hawakai masikini , we unajulikana hela huna unafanya nini hapo ?

He! Mie nilidhani huyu jamaa ni masikini wa akili tuu, kumbe hata umasikini wa kipato anao? Kelele zote zile kuwashangilia na kuwalamba miguu mafisadi kumbe ni kujilengesha labda naye atatupiwa kama Luge alivyowatupia wale wengine?
 
Uwezo wa Lema ni sawa na wabunge 20 wa ccm huyu mbunge tunamkubali sana ametusaidia kuiondoa ccm arusha sasa ccm arusha wamekuwa wapinzani kila la heri Mandela wetu
 
Ndio vilaza wa Chadema mnavyojidanganya hivyo. Nyie ndio mnasubiri Chadema ichukue nchi mlipwe mishahara bila kufanya kazi teh teh teh teh

Ccm bado mna ndoto za kuendelea kutawala
 
Kamanda achana na losers wa CCM piga kazi ila urudi home kumalizia kazi ya kufuta kabisa CCM Arusha
 
He! Mie nilidhani huyu jamaa ni masikini wa akili tuu, kumbe hata umasikini wa kipato anao? Kelele zote zile kuwashangilia na kuwalamba miguu mafisadi kumbe ni kujilengesha labda naye atatupiwa kama Luge alivyowatupia wale wengine?
Huyu hapa amevaa miwani .
 

Attachments

  • attachment-10.jpeg
    attachment-10.jpeg
    12.2 KB · Views: 326
neno la ukombozi limewafikia wagogo .watafunguliwa na makucha ya ccm.
Watawekwa huru na fikra zao zitabadilishwa ,wamechoka kuwa mateka wa ccm na polojo zisizoisha huku maisha yakizidi kuwa magumu .
Eeh mwenyezi Mungu utuondolee hili janga, laana ccm .amen!
 
Back
Top Bottom