Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,153
- 162,570
Nimemsikia Mbunge lema kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu akisema kuwa kesho anarudi bungeni licha ya amri ya naibu spika kuwazuia kuingia bungen kwa siku 5.
Mbunge Lema alikuwa akihojiwa na ITV sambamba na wabunge wengine waliosimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge.Mmoja wao alikuwa mh.Tundu Lissu aliesema hakuna kanuni ya bunge inayoweka ukomo wa mtu kuomba utaratibu na kwamba maamuzi ya naibu spika hayakuwa sahihi.Wengi wao waliohojiwa wamelaumu uamuzi huo.
Binafsi nashindwa kuamini nilichokisika labda kama nimesikia vibaya maana najiuliza kama hizo kanuni za bunge zitamruhusu kweli kurudi bungeni!
Kwakweli wabunge wa CHADEMA wananyanyaswa sana na kiti cha spika!
Makamanda vumilieni kwani msitarajie ushindi rahisi bila watu kupita katika kipindi kigumu.
Hata hivyo,naibu spika anapaswa kutafakari athari za kukosa michango ya wabunge hao ndani ya bunge kwa siku hizo 5.Maamuzi haya ya jaziba hayana tija kwa watanzania badala yake ni hasara kwa Taifa.