We mamho ya CDM yanakuhusu nini? Si uwaache wenyewe jamani?Mivutano ya nini? Kinachotakiwa ni Slaa atuthibitishie kama alipokea barua ya namna hiyo au lah. Hilo tu linatosha.
Tusifanye kazi ya utabiri, wakati wahusika wapo humuhumu.
Hayo yaliyoandikwa yote yameshawahi kusemwa hapa kwa nyakati tofauti, sasa imeletwa barua yenyewe. Je, Slaa hii barua ilipita kwako kama ilivyoandikwa hapo juu?
Naomba unukuu kelele hata moja uliyopigia CCM.Usafi wa wafuasi wa chama chochote una nafasi yake ili kupata viongozi bora wanaoweza kuunda serikali bora 2015. ndio kelele yetu dhidi ya CCM.
wewew hata useme vipi,sisi wana chadema hatuwezi kukuelewa,maana tunachotaka ni kuwaondoa magamba madarakani kama una oja yeyote ile subiri baada ya 2015Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.
Kama ni dalili mbaya yaani kati wanachama millioni kadhaa wewe ndiye umeguswa kuliko wengine? Hebu kaa mbele ya kioo ujiangalie sura yako kama inakusuta.
Uzushu!!!!!!
Umeona majina ya walioandika na kusaini document hiyo. Tuambie walipeleka malalamiko chadema makao makuu kwa sababu ipi?
Kumtetea Lema kwa sababu ananga'a na kufumbia madhambi yake ni kuipeleka chadema kaburini
Tuhuma hizi ni nzito, lakini kwa vile mtuhumiwa ni lema basi makao makuu itazipuuzia tu. Poleni sana makamanda wa Arusha...
Anyway, issue ya mtu mmoja pale Lumumba kukaa na kuandika hii kitu yenye font tofauti tofauti ni jambo la kawaida.CCM ikishikwa pabaya ni halali
CHADEMA ikishikwa pabaya ni haramu
Kwa mwendo huu tutafika salama????????
Sasa kama wameandika barua Kamati Kuu kwa nini unataka aje kujibu huku?Unaharibu mada ni bora ukasaidia kujibu kashfa hizo dhidi ya Lema.
Kutafutana fedha ya Umma wa wanachadema ni kashfa ambayo inatakiwa kujibiwa vema ili kumjenga Lema.
Je Huu ni ufisadi aina mpya unaokubalika ndani ya CHADEMA?
nitakuelewa kama utaniambia jinsi ya kuitoa ccm madarakani,mambo mengine ya kujenga,sijui kuimarisha chama,Lema kuuwa chadema,na takataka zingine ni baada ya kuiangusha ccmUsafi wa wafuasi wa chama chochote una nafasi yake ili kupata viongozi bora wanaoweza kuunda serikali bora 2015. ndio kelele yetu dhidi ya CCM.
sema usemavyo,tunachotaka kusikia ni namna gani tutavyowatoa ccm madarakani,maana kama nyoka ameingia nyumbani kwako ni kujua kwanza utamtoa vipi,mengine yote ni baadaeTunahitaji upinzani wa kweli nitaumia chadema ikienda kaburini. Vyama vingi ni kwa mujibu wa katiba ya nchi na vinachochea maendeleo.
sawa kamanda,sisi sera yetu kwa sasa ni kuakikisha ccm tunawatoa madarakani,masuala mengine tutaongea baada ya kuwatoa magambaKama katafuna ela nawe katafune ya magamba,sasa ivi laini ipo busy hizi tuhuma lete decemba 2015 sawa we mama ee
Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.
Anyway, issue ya mtu mmoja pale Lumumba kukaa na kuandika hii kitu yenye font tofauti tofauti ni jambo la kawaida.
Walishaandika nyingine tena, wanaandika, wana-scan na kurusha kwenye mitandao ya kijamii.
Mtu kama wewe ukipita pita zako huko unaiokota unaileta hapa huku ukiwa hujui ilikotokea.
Nani anaweza kuthibitisha kwamba huu waraka ni barua ya watajwa na ilitumwa na KUFIKA makao makuu.
Very simple, kama wewe ni kiongozi, unasema Lema alileta Pikipiki, then unasema hujui ilipo, sasa tumuulize nani zaidi yako wewe unayejiita Kamanda? Yani mletewe pikipiki halafu ipotee, halafu mumuulize Lema.
Wendawazimu mwingine.
Issue ya Shamba Burka ilishakuja hapa na barua yake kama hii ya kipuuzi,
Isue ya michango ya Wafiwa ilishakuja hapa kwa barua za kizembe kama hizi na ikatolewa ufafanuzi sawia.
Hizi siasa sa CCM za hovyohovyo tu. Ukitaka heshima shurti Ufanye yenye kuleta Heshima......:A S 100:
hayo sisi tumeshaachana nayo,mjadala uliopo mbele yetu, ni mmoja tu, kuwaondoa ccm madarakani, kama tumeamua kujitolea maisha yetu,hata wakila pesa kiasi gani,ili mradi magamba tuwapige chini.Ukifuatilia mjadala huu utagundua vijana wengi wanaoishabikia chadema sio wapinga ufisadi ila wanataka wapate nafasi ya kufisadi. Hakuna kijana hata mmoja wa chadema anayeona kuwa kilichofanywa na Lema ni tatizo!!!
Kwa namna hii mwananchi wa kawaida asitegemee maendeleo toka kwa wanasiasa.