huu ndiyo ujinga wa CCM tuhuma mlete nyie halafu ushahi tulete chadema...
Lakini ingekuwa vyema mlalamikiwa aje hapa kukanusha kama alivyofanya zitoHivi wewe Crashwise unapotoka povu jingi hivyo na kuwaita ama kuhalakisha watu wote wanaopinga ujinga huu wa kuabudu watu mmoja mmoja ndani ya chama kuwa ni ccm, wewe tunaamini vipi kuwa ni CDM? Au unataka kutumia ujinga huu wa kitetea maovu ndani ya CDM kuhalalisha uCDM wako? Vipi tukisema wewe ndiyo CCM namba moja unatetea maovu haya ili kuiua CDM utabisha?
Chilisosi a.k.a Chris Lukosi, upoooo!!Lakini ingekuwa vyema mlalamikiwa aje hapa kukanusha kama alivyofanya zito
zile tulizopata LUMUMBA ZIKO WAPI????????????Mods,
Msaada sisi wenye simu za mchina tuweze japo kusoma.
CDM ni wasanii mkuuLakini ingekuwa vyema mlalamikiwa aje hapa kukanusha kama alivyofanya zito
Nipo kamanda, nashangaa wanavyomchana kamanda wetu hapa imeniuma mpaka nimeona ni vyema aje mwenyewe akanushe si unajua sio vizuri future waziri wa mambo ya ndani atukanwe hivi hadharani, mie na makamanda wenzangu tumemaindiChilisosi a.k.a Chris Lukosi, upoooo!!
Nina kadi tano ya CCM, NCCR, TLP, CUF na CHADEMA.Hivi wewe Crashwise unapotoka povu jingi hivyo na kuwaita ama kuhalakisha watu wote wanaopinga ujinga huu wa kuabudu watu mmoja mmoja ndani ya chama kuwa ni ccm, wewe tunaamini vipi kuwa ni CDM? Au unataka kutumia ujinga huu wa kitetea maovu ndani ya CDM kuhalalisha uCDM wako? Vipi tukisema wewe ndiyo CCM namba moja unatetea maovu haya ili kuiua CDM utabisha?
Msanii ni kikwete na wahuni waliojazana ikulu...CDM ni wasanii mkuu
Lakini ingekuwa vyema mlalamikiwa aje hapa kukanusha kama alivyofanya zito
Naona wewe na Lema ni damudamuMsanii ni kikwete na wahuni waliojazana ikulu...
Naona wewe na Lema ni damudamu
Nina kadi tano ya CCM, NCCR, TLP, CUF na CHADEMA.
Mapambano ya kutafuta haki nimeamini ni magumu. Heri ujasiri wa kuitafuta haki kwa niaba ya watu wako kuliko uoga wa kuiangamiza jamii yako,