mjasiri na mali
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 1,178
- 2,169
Na Lisu alikiuka nini?Mwambie na Mbowe aendelee kukiuka masharti ya dhamana.
Muulize.
Kilaza akiishiwa hoja huwa anahahaEndelea kujipotosha. Hainipi tabu. Nakupa ushauri tu.
Nimuulize nani tena,? Nakuuliza wewe si ndo unajua kama wanavunja sheria!Muulize.
Nazungumzia Mbowe wewe unaanza oh Lisu sijui nini. Nenda kamuulize sasa, unaogopa nini?Nimuulize nani tena,? Nakuuliza wewe si ndo unajua kama wanavunja sheria!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuuliza wewe mwanaccmitutu!Nazungumzia Mbowe wewe unaanza oh Lisu sijui nini. Nenda kamuulize sasa.
Kwenye keyboard!Huu mwaka huenda ukawa ni mwaka wa kuandika historia katika kupigania demokrasia ya vyama vingi nchini.
Hahahahaha...!Ngoja niwe full online,sitaki hata kuishiwa charge nione huu mwaka Nyumbu wanakuja na style gani?View attachment 982888
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri nitakapoongelea Lisu nitakujibu.
Mikono yenu imejaa damu, amini nakwambia mtaishia jela siku zaja!Subiri nitakapoongelea Lisu nitakujibu.
Yenu akina nani hao?Mikono yenu imejaa damu...
Unajidhalilisha kutumia lugha usiyoimudu.
mgonjwa mtambuka kama kiongozi wenuAkamtoe Mbowe kolokoloni kwanza tuone.
Cha ugoko wakati ninyi hamjui hata kupronounce entrepreneurshipSasa unataka kumtisha nani na hicho kizungu cha ugoko. Si afadhali uandike kwa Kiswahili tu?
Hueleweki.Cha ugoko wakati ninyi hamjui hata kupronounce entrepreneurship
Dr professor
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu naona mzee utazidi kunuka damu za Watanganyija wenzio.Akamtoe Mbowe kolokoloni kwanza tuone.