GODBLESS LEMA HAJAPATA DHAMANA?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Kupitia humu namwagiza Tundu Lissu aende pamoja na DJ Mbowe akashughulikie dhamana ya Lema tunataka Christmas awe nyumbani kwake maana gerezani siyo kuzuri.
Yatosha sasa wamsusa muda mrefu wamkanye wasimtenge sana maana ni binadamu alikosea tu kidogo.
 
Anaweza akatoka siku hiyo hiyo akisha kutana tu na makamanda wenzie nje ya mahakama anaweza ropoka tena lingine akarudishwa tena gerezani maana hawa makamanda hawa!!! Mh!
 
unamwagiza Lissu wewe km nani? km wewe ni nani kwanini usimwagize anayesikiliza kesi ya Lema ampe dhamana?
umbea tu
 
Siasa hii inanikumbusha mbali kidogo, Siasa siasa siasa!!!
Maumivu ya kupata haki kwenye siasa. Siasa ya Tanzania upambane udai haki...!!
 
Wewe ni nani?

Back
Top Bottom