😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kurejea CCM.
Lema amedai kuwa uamuzi wa Lowassa unadhihirisha kuwa ameweka mbele maslahi yake binafsi kuliko mabadiliko aliyokuwa anayahubiri alipoingia Chadema.
Alidai kuwa Lowassa alifikia uamuzi huo ili kulinusuru shamba lake linaloshikiliwa Mkoani Tanga, shamba lake la mifugo linaloshikiliwa Dodoma pamoja na kumnusuru mkwewe Sioi Sumari na kifungo dhidi ya kesi inayomkabili.
Sumari anatuhumiwa kwa kula njama ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kughushi pamoja na utakatishaji wa fedha.
“Mtu huyu alitaka kuwa Rais, hali ya kisiasa ilivyo sasa watu wapo magerezani, wanapata misukosuko ya kibiashara, hawana cha kuipa CCM ili wapate ahueni, lakini kwa sababu yeye anacho cha kuwapa CCM ilia pate amani. Hajaona gharama ya kufanya hivyo,” Lema amekaririwa na Gazeti la Mwananchi
“Chadema imepata baraka kuondokewa na mtu kama huyu. Alikuja kwa ajili ya kutaka urais na sio mabadiliko aliyokuwa akiyanadi. Nchi inataka demokrasia, katiba mpya, sheria mpya na inakabiliwa na ubanaji wa vyombo vya habari… mwanasiasa makini hawezi kuungana na CCM,” aliongeza.
Lowassa alijiunga na Chadema mwaka 2015 baada ya jina lake kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha watu waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Aligombea urais na kuleta ushindani mkubwa dhidi ya Dkt. John Magufuli wa CCM.
Juzi alipokewa na Dkt. Magufuli, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lowassa alieleza kwa ufupi kuwa amerejea nyumbani. Alipokewa katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mtapata taabu sanaAmeenda kufia alikonywea sumu.. Pumzika salama mzee.
Kampeni na Uchaguzi wa 2015 ni kumbukumbu ya uwepo wako.
Bado hamjasema,ongeeni yote,bila kusahau idadi ya wabunge na kura za urais alizowapatiaMbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kurejea CCM.
Lema amedai kuwa uamuzi wa Lowassa unadhihirisha kuwa ameweka mbele maslahi yake binafsi kuliko mabadiliko aliyokuwa anayahubiri alipoingia Chadema.
Alidai kuwa Lowassa alifikia uamuzi huo ili kulinusuru shamba lake linaloshikiliwa Mkoani Tanga, shamba lake la mifugo linaloshikiliwa Dodoma pamoja na kumnusuru mkwewe Sioi Sumari na kifungo dhidi ya kesi inayomkabili.
Sumari anatuhumiwa kwa kula njama ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kughushi pamoja na utakatishaji wa fedha.
“Mtu huyu alitaka kuwa Rais, hali ya kisiasa ilivyo sasa watu wapo magerezani, wanapata misukosuko ya kibiashara, hawana cha kuipa CCM ili wapate ahueni, lakini kwa sababu yeye anacho cha kuwapa CCM ilia pate amani. Hajaona gharama ya kufanya hivyo,” Lema amekaririwa na Gazeti la Mwananchi
“Chadema imepata baraka kuondokewa na mtu kama huyu. Alikuja kwa ajili ya kutaka urais na sio mabadiliko aliyokuwa akiyanadi. Nchi inataka demokrasia, katiba mpya, sheria mpya na inakabiliwa na ubanaji wa vyombo vya habari… mwanasiasa makini hawezi kuungana na CCM,” aliongeza.
Lowassa alijiunga na Chadema mwaka 2015 baada ya jina lake kuondolewa kwenye kinyang’anyiro cha watu waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Aligombea urais na kuleta ushindani mkubwa dhidi ya Dkt. John Magufuli wa CCM.
Juzi alipokewa na Dkt. Magufuli, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lowassa alieleza kwa ufupi kuwa amerejea nyumbani. Alipokewa katika Ofisi ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuhusu uamuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kurejea CCM.

Ameshasafishwa na Chadema. Mungu mbariki Lowassa.Mimi naomba niwaulize wana CCM wenzangu , Lowasa ni Fisadi au sio Fisadi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha...ohooooooooooo....kumbe alikuja kuufuata uraisi, alafu mkawaweka pembeni waliokua wa maana...mkampa kupeperusha bendera kugombea nafasi ya juu kuliko zote.....sasa nani tumuogope hapa...yeye au chama kilicho ruhusu yote haya yatokee na kushindwa kufanya lolote mpaka alivyojitoa mwenyewe....? samahani lakini“Chadema imepata baraka kuondokewa na mtu kama huyu. Alikuja kwa ajili ya kutaka urais na sio mabadiliko aliyokuwa akiyanadi. Nchi inataka demokrasia, katiba mpya, sheria mpya na inakabiliwa na ubanaji wa vyombo vya habari… mwanasiasa makini hawezi kuungana na CCM,” aliongeza.
.
HahahahaAmeenda kufia alikonywea sumu.. Pumzika salama mzee.
Kampeni na Uchaguzi wa 2015 ni kumbukumbu ya uwepo wako.
Bado hamjasema,ongeeni yote,bila kusahau idadi ya wabunge na kura za urais alizowapatia
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha...ohooooooooooo....kumbe alikuja kuufuata uraisi, alafu mkawaweka pembeni waliokua wa maana...mkampa kupeperusha bendera kugombea nafasi ya juu kuliko zote.....sasa nani tumuogope hapa...yeye au chama kilicho ruhusu yote haya yatokee na kushindwa kufanya lolote mpaka alivyojitoa mwenyewe....? samahani lakini
Maneno ya mkosajiNaendelea kusisitiza kwamba Lowassa ni fisadi. Alipojiunga CHADEMA alipigwa sala ya toba, Mungu akamsamehe. Sasa ameamua kurudi kwa mafisadi wenzie aliowaacha, uvumilivu umemshinda. Sasa ajiandae gadhabu ya Mungu inaenda kumshukia. Mungu huwa hadhihakiwi.
Unafanya toba na kusema umebadilika hadi unazungusha mikono. Mungu nakuruhusu umshughurikie Lowasaa na kizazi chake. Kafanya ufisadi hadi nywele zimekuwa nyeupe.