Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

Kwani wewe ulitakaje?
 
kwani uchaguzi si unahairishwa anapiga kampeni za nini huyo kibaka?

Haha kibaka mzoefu. Mbunge gani dhulumati, muongo, mchonganishi, mmbeya, mwizi, mtoa rushwa. Amedhulumu kampuni iitwayo SENKONDO'S EXPORT AND IMPORT CO LTD.
 
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

Ataendeleaje na kampeni naikiwa zimaeahirishwa mpaka itakapotangazwa tena????

HUenda LEma alikuwa Ludewa kwenye msiba wa Filikunjombe au alikuwa DSm katiks mazishi ya Makaidi.

Huwezi kujua sababu ya yeye kutoonekana kwani ikumbukwe Taifa limepata misiba inayofuatana sasa unuategemea atajigawa vipi na yote inamuhusu???????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Haha kibaka mzoefu. Mbunge gani dhulumati, muongo, mchonganishi, mmbeya, mwizi, mtoa rushwa. Amedhulumu kampuni iitwayo SENKONDO'S EXPORT AND IMPORT CO LTD.

Toa ushahidi kwa hayo unayosema. Kama huna ushahidi futa kauli yako hadharani. Siyo Facebook hapa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kibaka mamayako mzazi,kampeni ya ubunge ndo iliyoahilishwa,ila anawapigia kampen madiwani wake pamoja na rais wetu baba mtakatifu lowasa,umeelema ww binti mrembo?

Matusi ya nini jamani?
 
Magamba na wenye kushirikiana na magamba kwetu ni maadui wa haki .... wanastahili kaburi tu
 
kwan ulidhan kuwa malla angefufuka kama lema angeudhulia mazish?kwan kunaulazma wa wanasiasa kuhudhulia kila msiba unaotokea ktk jamii zao?na kama kuna ulazma kwann hawakuhairisha mazish ili kumsubili mpaka atakapo onekana msiban?
 
mleta mada mbona alipokufa yule waziri wa kike jamaa hakukatisha ziara yake kuja kumzika yule mama waziri
 
Lema Yupo Geita.....Acha uongo mtt wa kike
 
Kwa wanaChadema siasa ni UADUI na CHUKI KALIIIIII.Hata ukionekana unasalimiana na mtu wa chama kingine tu unakuwa MSALITI isipokuwa MBOWE tu na NDESSAPESSA
Mkuu, punguza jazba, siku zenyewe za kuishi chache!
 
Hivi ni lazima mtu ahudhurie msiba? Hawezi kumfufua msicomplicate mambo
 
kuhani msiba sio amri ni hiari ya mtu
hivyo sioni hoja hapa, nionacho hapa ni umbea tu alafu watu wazima tuwe tunajiheshimu
vinginevyo tunajidhalilisha wenyewe.
POLE.
 
Kwan kwenda msibani ni lazima au hiari ya mtu, mbn tena wale ambao tukio linatokea na kusema naomba mungu awe salama ndo wanaohusika na majangaa I'll anaenyamza kimya Mh,
 
Back
Top Bottom