Godbless Lema azua maswali msiba wa Malla

photo mee

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
608
Reaction score
93
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.
 
mall a ndiye aliyesababisha katanne kurudia uchaguzi nahuyu mala ni mmkosi sana
 
kwani uchaguzi si unahairishwa anapiga kampeni za nini huyo kibaka?
 
Uchaguzi WA ubunge arusha mjini hawataahirisha kama mahenge na bumbuli?
 
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

Kwa wanaChadema siasa ni UADUI na CHUKI KALIIIIII.Hata ukionekana unasalimiana na mtu wa chama kingine tu unakuwa MSALITI isipokuwa MBOWE tu na NDESSAPESSA
 
Lema amechanganyikiwa kwasasa maana anajua mambo siyo mambo tena
 
Ikiwa inakaribia kuisha week sasa tangu msiba wa aliyekuwa mgombea wa ACT WAZALENDO ndugu Estom Malla jimbo la Arusha kuisha yamekuwepo maswali yasiyo na majibu kuwa Malla alikuwa mgombea na wagombea wenzake wote walifika kuhani msiba na kushiriki mazishi huko Moshi.

Ila mgombea wa CHADEMA God bless Lema hakuonekana kwenye msiba huo tangu ulipo tokea mpaka alipozikwa muda wote Lema alikuwa Arusha akiendelea na kampeni zake. Siku ya mazishi alikuwa mtaa wa Madadii Unga LTD.

Kwani iliandikwa wapi kuwa ni lazima kwenda kwenye kila msiba?
 
Kwani angeenda Lema huko msibani Huyo Mallah angefufuka?? Kapige mswaki kwanza hatuhitaji utuchafulie hewa hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom