Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

Status
Not open for further replies.
Tupo pamoja wazee katika ukombozi wa dhati wa Mtanzania,ni heri sisi tukose kabisa ila CCM na watoto wao wapungukiwe.
 
Namsubiri nipo hapa Nmc kabisa na bike zote za A-town zinaonesha ushirikiano wa kutosha
 
Wapi Ritz? Nina hamu na upupu wake kunogesha shughuli ya leo.
 
Mkuu PJ, humo kwenye red humo....usimtaje jina! ukithubutu tu kumtaja basi CCM wanamfilisi mchana kweupeee kupitia TRA
 
Hapa mjini Arusha pikipiki magari,hiace zimejaa bendera za chadema kweli zama za mkoloni mweusi CCM zimekwisha.
 
CCM tafteni pa kujificha leo, majipu mengine huenda yakapasuka leo!!
"Wellcome back kamanda"
 
hapo naona police na ccm wamesalim amri
 
huko mahakamani watu ni wengi sana siju itakuwaje huko nmc...
 
Hakuna cha ushirikiano,wako kibiashara ukiona pikipiki ujue washasunda 10,000/=

We kabonde acha u-masaburi wako na usenge wa ccm wa kuwalipa hongo hadi wanafunzi ili waje kwenye mikutano yenu ya magamba.

Mimi nipo kwenye msafara na hicho unachotaka wana-jf wakuamini sijakiona kwani hata maji ya kunywa tunanunua kwa pesa zetu!
 
CCM they are makingi this dude A HERO!
 
Mie nasubiri kwa hamu kubwa majungu ya Ngongo na kundi lake!
 
kenge maji weee, alshabab mama yako.

wacheni ujinga na tukanana wewe kwa wenye kama kuna mtu ana weza kufika hapo mahakamani aende naambiwa kuna watu wengi sana..
 
We kabonde acha u-masaburi wako na usenge wa ccm wa kuwalipa hongo hadi wanafunzi ili waje kwenye mikutano yenu ya magamba.

Mimi nipo kwenye msafara na hicho unachotaka wana-jf wakuamini sijakiona kwani hata maji ya kunywa tunanunua kwa pesa zetu!
Kabonde na Ngongo lao moja, majungu mpaka mwisho. Lakini leo watachekea chooni.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…