MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Kwani Ndugai anaijua kazi yake; si anaamriwa na mhimili uliojichimbia?Lema asimfundishe spika kazi yake!!
Kwani Ndugai anaijua kazi yake; si anaamriwa na mhimili uliojichimbia?Lema asimfundishe spika kazi yake!!
Ndo huyohuyo, lakini wewe uko salama maana hata mkokoteni huna atakuibia nini?Huyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Mkuu upo sirias au unatania kwa wazo hil?Lema asimfundishe spika kazi yake!!
Zuio haliwekwi bungeni, linawekwa mahakamani, refer kesi za akina Kafulila, Hamad, Zitto nk.Walishafukuzwa uanachama kabla ya mahakama kutoa hiyo amri,na wengine walishaapishwa sasa hilo la kuwaondoa Bungeni wale walioapishwa na kuwarudishà wale waliofukuzwa linawezekanaje wakati kesi ya msingi bado haijatolewa uamuzi?,Ni kwanini walishindwa kuweka zuio Bungeni ili hawa wapya wasiapishwe?
Spika alikurupukabLema asimfundishe spika kazi yake!!
Hawana sifa mchakato wao ni wa kihuni; haukuwa halali.awaondoe kwa kanuni ipi ya bunge wakati wameapishwa????
hembu verify hapa huo uharamu mkuu
Uharamu unaanzia kwenye kumtambua Lipumba ambaye ndiye aliyemtambua Magdalena Sakaya ambaye ndiye aliyewateua hao wabunge!
Ni busara Mh Spika afundishwe juu ya madhara ya kufanya maamuzi ya papara.Lema asimfundishe spika kazi yake!!
Wataka kuhamisha mada?Huyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Ndugai na Mutungi watafungwa jela muda mfupi sana ujao .Hiii ni aibu sana kwa Spika.
Ndugai na Mutungi watafungwa jela muda mfupi sana ujao .
Spika hajui kazi na wajibu wake ndo maana Lema anamfundiisha......!!!Lema asimfundishe spika kazi yake!!
SI hata yule wa mboga na wamakengeza na hao pia siwametuhumiwa ni vizur tuhama zote zikawakilishwa panapostahili vinginevyo tukubali yaisheHuyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Sio yeyeHuyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Mbona na wewe ni mwizi wa masifuria na sisi tumekaa kimya!Huyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Gwiji Maalim ataapishwa , wabunge halali wanarudi lakini Ndugai na Mutungi segerea .Kabla au baada ya Maalim Seif kuapishwa kuwa Rais wa Znz maana nae katuambia ataapishwa Muda mfupi ujao
Ni serikali ya ajabu sana ya mr chatHuyu Lema si ndo yule anayetuhumiwa kuwa mwizi wa magari au ?
Hizo zilikuwa ni nguvu za mr chato,sio za mahakamaWalishafukuzwa uanachama kabla ya mahakama kutoa hiyo amri,na wengine walishaapishwa sasa hilo la kuwaondoa Bungeni wale walioapishwa na kuwarudishà wale waliofukuzwa linawezekanaje wakati kesi ya msingi bado haijatolewa uamuzi?,Ni kwanini walishindwa kuweka zuio Bungeni ili hawa wapya wasiapishwe?