Godbless Lema asambaratisha CCM Monduli

Godbless Lema asambaratisha CCM Monduli

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.

Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na umati mkubwa wa watu uliohudhuria kuunga mkono mgombea wa CHADEMA.

Mara baada ya kumwaga sera vilivyo huku akimnadi mgombea wake zaidi ya wanachama 700 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kukabidhiwa kadi za CHADEMA.

Watu mbalimbali wamesema kwa siasa za Monduli hilo ni pigo kubwa kwa CCM kwani ilikuwa inaonekana kwa mkoa wa Arusha CCM walau inajivunia ngome yake maeneo hayo.
 
Tutundikie king'amuzi twende kidigitali
 
Kiukweli,Godbless Lema ametushinda kama Chama cha Mapinduzi.Lema hazuiliki,hadhibitiki. Hongereni sana mliokuwa 'wanamagamba' wenzangu kwa kuamua mlivyoamua. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Hongera kamanda Lema mbona hata kamuhanda anajua nchi ni watanzania kwa uongozi wa CDM 2015 asubili hukumu yake na damu ya mwangosi iko mikononi mwake, Lema kaza kamba vijana hatulali kamwe.
 
Nimeifurahia hiyo mkuu,tupia walau kapicha niburdike.

The nation that destroys its destroys itself.
 
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.

Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na umati mkubwa wa watu uliohudhuria kuunga mkono mgombea wa CHADEMA.

Mara baada ya kumwaga sera vilivyo huku akimnadi mgombea wake zaidi ya wanachama 700 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kukabidhiwa kadi za CHADEMA.

Watu mbalimbali wamesema kwa siasa za Monduli hilo ni pigo kubwa kwa CCM kwani ilikuwa inaonekana kwa mkoa wa Arusha CCM walau inajivunia ngome yake maeneo hayo.

Lepilal ole Moloimet yuko wapi jamani. Hii taarifa itamfanya apate usingizi mzuri sana leo. Kama kuna mtu anamjua yupo wapi mpigieni simu jamani mzee wa watu afurahi japo leo tu. Mara ya mwisho nilisikia yupo Longido, kule ambako wamasai huwaga hata hawajui kuna mpaka kati ya Kenya na Tanzania. Mtafuteni huyu mzee jamani ajue Lema kamaliza vita yake....
 
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.

Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na umati mkubwa wa watu uliohudhuria kuunga mkono mgombea wa CHADEMA.

Mara baada ya kumwaga sera vilivyo huku akimnadi mgombea wake zaidi ya wanachama 700 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kukabidhiwa kadi za CHADEMA.

Watu mbalimbali wamesema kwa siasa za Monduli hilo ni pigo kubwa kwa CCM kwani ilikuwa inaonekana kwa mkoa wa Arusha CCM walau inajivunia ngome yake maeneo hayo.

Lema maana yake ni nini kwa wanaojua?
 
Ninakushukuru Mungu kwa hili. Mpe maisha marefu kamanda wetu na mbunge wetu wa Arusha ili aweze kuliletea Taifa letu uhuru wa kweli. Amen.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kiukweli,Godbless Lema ametushinda kama Chama cha Mapinduzi.Lema hazuiliki,hadhibitiki. Hongereni sana mliokuwa 'wanamagamba' wenzangu kwa kuamua mlivyoamua. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tunakungoja na wewe mzee tupatupa ukate shauri na kujiunga na mabadiriko ha ha au unaogopa wakubwa mzee
 
Tunakungoja na wewe mzee tupatupa ukate shauri kujiunga na mabadiriko ha ha au unaogopa wakubwa mzee

Mkuu Froida huyu VUTA-NKUVUTE tumpe muda tu ngoja amalize miaka 2 na ushee uliobaki atakuja CHADEMA tu. Lets wait.!
 
Last edited by a moderator:
chadema nyie fanyeni siasa safi na ya vitendo...ccm wao siasa zao ni za kubambikiza watu kesi, kutesa na kuuwa
 
Ni lazima hali hiyo iwe hivyo, magamba walijikoroga, kwenye kura za maoni katika wagombea watatu waliopitishwa, mgombea wa tatu ndiyo waliompitisha na kuwatosa mgombea no.1 & 2 wamekatwa, akiwemo na yule teacher kuna mengi mtayasikia..... kazi kweli kweli. wale wamasai wameamua mbaya zaidi na ule mgogoro wa Loliondo waliyotendwa ndugu zao... hapo sasa
 
Back
Top Bottom